Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Baada ya Mnyama Simba Sc kupokea kipigo cha goli 1-5 dhidi ya Wananchi Yanga Sc, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara uliopigwa wikiendi iliyopita
Wazee wa Klabu ya Simba maarufu kama Wazee wa Simba, wamewataka viongozi wa Simba akiwemo Mwenyekiti wao Murtaza Mangungu na Try Again wajiuzulu nafasi zao kwa kile walichodai kuwa ni uzembe kwa kushindwa kuiongoza klabu hiyo
Wazee hao wamesisitiza kuwa wanawapa masaa 24 viongozi hao wawili wajiuzuru kwa hiyari yao ili kulinda heshima zao
By kishamba media