Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,646 Dec 31, 2016 #1 Popote ulipo pokea salam zangu za funga mwaka dada zangu Arabela charming lady FaizaFoxy Eveline Thomas Evelyn Salt Baba V Na wanao woote daah mkuu Watu8 Kitambo Sana kaka nakuombea mwaka uuanze vizuri Bila kuwasahau wakongwe wa MMU woote nawatakia mwaka Mpya.
Popote ulipo pokea salam zangu za funga mwaka dada zangu Arabela charming lady FaizaFoxy Eveline Thomas Evelyn Salt Baba V Na wanao woote daah mkuu Watu8 Kitambo Sana kaka nakuombea mwaka uuanze vizuri Bila kuwasahau wakongwe wa MMU woote nawatakia mwaka Mpya.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jan 30, 2017 #2 Eeh bwana pamoja sana kaka bilashaka umeanza vizuri mwaka