Wale wote wanaocheza Martial Arts Tanzania hapa njooni tubadilishane ujuzi
kuanzia wale wa
Japanese Shotokan (JAPAN)
Aikido (JAPAN)
Kick Boxing
Tae Kwo ndo (KOREA)
Muay Thai (THAILAND) HAWA NDIO KINA ONG BAK
Ninjitsu (JAPAN)
KungFu (CHINA)
systema (RUSSIA)
Kinomichi (FRANCE)
Kalaripayattu (INDIA)
Tujadili kuhusu michezo ya martia arts kwa Tanzania
ma dojo yaliyopo
makarateka njooni tubadilishane ujuzi na mawazo kupitia hapa
Nipo iringa, kuna master yupo pia, alikuaga mjeda na kajifunza Israel .. KaribuWapi wanafundisha Krav Maga hapa bongo?
Umenichekesha mkuu...kweli unahitaji formal training ili uwasambaratishe zaidi wakijichanganyaAsante sana, mi sina hayo maujuzi ila napenda sana mambo ya self defence, hivi kwa hapa Dar ni eneo gani wanafunza na ni gharama kiasi gani? Nimewahi vamiwa beach na vibaka watatu wenye visu, sikua na ujuzi ila nafikiri nao walikuwa mateja tuu hawakujua kutumia silaha, niliwaweza kwa street fight tu za kuzaliwa, nilimmwagia mchanga mmoja usoni nikapiga vibaya mno. Ila siku nyingine naweza kutana na wababe si unajua hapa bongo.
iringa sehemu gani mkuuNipo iringa, kuna master yupo pia, alikuaga mjeda na kajifunza Israel .. Karibu
Wapi naweza pata Sifu, nijifunze Wing Chun. maana hii style uwe bonge, mwembamba haijalishi ukikutana na jambazi lazima akae..
Haaa Haaa Njo Musoma Huku Tata.Wapi naweza pata Sifu, nijifunze Wing Chun. maana hii style uwe bonge, mwembamba haijalishi ukikutana na jambazi lazima akae..
Mara nyingi Niko zangu Mafinga JKT.. Wikendi utanipata Gangilonga.iringa sehemu gani mkuu
gangilonga shule ya msingi?Mara nyingi Niko zangu Mafinga JKT.. Wikendi utanipata Gangilonga.