Ndo maana nasema labda unachanganya majina,shotokan inatumia nguvu sana,guljoryu na kungfu ndo za maonesho,hata tae kwon doJeshini mara nyingi zinazotawala ni taekwondo, judo combat, kombat karate, pia kwa sasa krav maga,
Hizo shotokan karate ni kwaajili ya sports not for military combat!!
Ndo maana nasema labda unachanganya majina,shotokan inatumia nguvu sana,guljoryu na kungfu ndo za maonesho,hata tae kwon do
Refer kata na bunkai za kung fu za kucheza na mapanga cheni na fimbo zilizorembeshwa vitambaa,ref.stance za kung fu zilivo za kuremba,kokutsu dach,Mkuu kama kung fu zingekuwa za maonyesho basi kwenye temples huko uchina wasingefundisha
Tutofautishe karate za sinema na kuigiza na karate halisi,Muay Thai na Aikido is my favorite.Kwa ninavyo muona Tony Ja na style yake ya Muay Thai hata Bruce Lee hapo asingeweza muziki wa dogo
Wale wote wanaocheza Martial Arts Tanzania hapa njooni tubadilishane ujuzi
kuanzia wale wa
Japanese Shotokan (JAPAN)
Aikido (JAPAN)
Kick Boxing
Tae Kwo ndo (KOREA)
Muay Thai (THAILAND) HAWA NDIO KINA ONG BAK
Ninjitsu (JAPAN)
KungFu (CHINA)
systema (RUSSIA)
Kinomichi (FRANCE)
Kalaripayattu (INDIA)
Tujadili kuhusu michezo ya martia arts kwa Tanzania
ma dojo yaliyopo
makarateka njooni tubadilishane ujuzi na mawazo kupitia hapa
Wewe unafikiri Toni Ja hana huo uwezo?Nenda you tube utafute matukio amefanya in real life...usikurupuke tuTutofautishe karate za sinema na kuigiza na karate halisi,
Karateka hana moyo dhaifu wa kupanic haraka,endelea kuwa shabiki wa maigizoWewe unafikiri Toni Ja hana huo uwezo?Nenda you tube utafute matukio amefanya in real life...usikurupuke tu
Rudi nyuma kwe historian ya karate uone km unalosema ni sahihikung fu ndo baba ya martial arts zote,,
Awali nilikuwa najifunza goljoryu ila nkahamia shotokanNani hapa anacheza karatee aina ya goljoryu kama mimi
Umeongea lugha gani hapa?Refer kata na bunkai za kung fu za kucheza na mapanga cheni na fimbo zilizorembeshwa vitambaa,ref.stance za kung fu zilivo za kuremba,kokutsu dach,
Zenkuz dach ya kung fu na taekwon do na goljuryu lazima urembe sana,iwe ndefu na kiuno kibonyee ndani,wakati zekuz dach ya shotokan ni fupi sn(ftng zenkuz)
The same to kokutsu dach ya shotokan ni fupi sn,hakuna kuremba,kung fu na tae kwon do,lazima uwe Mzee wa sarakasi ili kuvutia shows,tena km goljuryu inaitwa soft karate,maana ilinzishwa maalumu kwa akina Dada baada ya shotokan kuwa ngumu kwao,
Nisahihishe mkuu yamkini nimetereza maana kijapani balaaUmeongea lugha gani hapa?
Ahaha me mwenyewe nataman kujua ulichoongea hapoNisahihishe mkuu yamkini nimetereza maana kijapani balaa
Kijapan kaka,labda uwe specific kwe neno lipi haujalielewa.au nlivo tamka neno taekondo?Ahaha me mwenyewe nataman kujua ulichoongea hapo
Kwa kuwa umeshacheza goljoryu. Je kati ya shotokan na goljoryu ni ipi unaona iko poa zaidi?Awali nilikuwa najifunza goljoryu ila nkahamia shotokan
Goljoryu ni laini sana,pia mnatumia muda mrefu sana kwe stance sahihi na za kuvutia,kwe stance na kata goljoryu inavutia,nakushauri karibu shotokan japo inataka uvumilivu ina mikiki zaidi ya goljuruKwa kuwa umeshacheza goljoryu. Je kati ya shotokan na goljoryu ni ipi unaona iko poa zaidi?