Hizi akili CCM hazipo, MaCCM ni watu walafi sana. watarudi kwa matumbo yao, sio kujenga nchi. CCM ni LAANAKUM.Issue sio Kurudi kwenye Chati, na Heshima Yao Iko Pale Pale " Mbabe wao si unajua is no more", So wazee awa Wasadie Kuboresha Siasa za Maridhiano zilizoaribiwa na huyo "Mbabe'. Wasaidie Ndani ya Chama Chao, Tujenge Taifa lenye watu wenye Kuheshimiana, Kupendana na Kuvumiliana. Ubabe Hauna Tija na Unakuwaga na Mwisho Mbaya.
SijakupataBashiru na Mangula mko wapi mumkalishe kanali na Luteni wa jeshi kwenye kiti Moto?
Hazina ipi? Wazee wapi hao wanaoteta viongozi wakubwa wa nchi..wazee gani waliokuwa wanaiba nyara za serikali na kufanya biashara ya meno za tembo..tembo walipukutika wengi sana kipind hao unaowaita wazee wameshika nchi..jpm alivyoingia tembo zikaongezeka kama mbuzi na swala..acheni upuuz kushabikia majina ya watu bila kuona uhuni waliokuwa wanaufanya..Wadau mtakumbuka jinsi wazee wetu hawa walivyodhalilishwa na watu walio wachanga sana kisiasa hapa nchini, dharau hizo zilizidi hasa katika Serikali ya awamu ya tano.
Je, sasa si wakati wa wazee wetu hawa kurudia kuheshimika kutokana na hazina yao ya kisiasa hapa Tanzania? Karibuni kuchangia mada hii.