Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Wazee wa kileo wamekuwa ni watu wa ovyoo, mioyo yao imejaa husda na wivu kupita kiasi hasa sisi vijana tunaopata mafanikio ya haraka, kijana anaajiriwa ndani ya muda mfupi ana nyumba na gari pamoja na vitega uchumi kibao, nyinyi ni wazee wetu tunawaheshimu sana kwa sababu nyinyi ndio babu zetu, baba zetu na wajomba zetu.
Kuweni wapole tuwape code za mafanikio yetu, mzee unashindana na kijana kwenye suala la maendeleo halafu akikuzidi unakuwa na chuki, husda na wivu.
Wazee kuweni wapole tuwape code za mafanikio.
Kuweni wapole tuwape code za mafanikio yetu, mzee unashindana na kijana kwenye suala la maendeleo halafu akikuzidi unakuwa na chuki, husda na wivu.
Wazee kuweni wapole tuwape code za mafanikio.