Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
Nimeshangaa sana leo nilipo pata na kufuatilia taarifa hii ya hawa wanaoitwa wazibiti ubora wa shule...baada ya kujua kazi na wajibu wao katika utendaji wao wa kazi..kumbe ni watu wenye umuhimu na majukumu makubwa ya kusimamia elimu kwa ujumla..bado katika mfumo wao wa utendaji uwezo mdogo sana ukizingatia kuwa hawa hawa huenda kukagua sekondari si vibaya lakini viwango vyao vya elimu ukilinganisha na wanao kwenda kuwakagua tofauti kabisa..mkaguzi ana form 4 na cheti cha ualimu uzoefu kazini anakwenda kukagua mwalmu mwenye shahada na zaidi nini mayoke yake???[emoji54][emoji54][emoji54] lakini cha ajabu kumbe kuna chuo ambacho hata chenyewe sifa zake za kujiunga ni hizo hizo ni form 4 na cheti cha ualimu kinatoa wahitimu hawa lakini hawana impact yoyte waliopo ni walimu wa kawaida ambao hawana hata mafunzo ya ukaguzi!!! nashauli serikali chuo hiki kinacho toa kozi hii kingegeuzwa na kuwa chuo cha ufundi veta kingeenda sambamba na sera ya mkuu ya viwanda na kingeleta tija katika maendeleo ya taifa...mbadala wake kozi hii itolewe kwa ngazi ya shahada au zaidi katika vyuo maalumu..