Wazijua taratibu za ku-Export? Sogea hapa utuume sikio

Wazijua taratibu za ku-Export? Sogea hapa utuume sikio

Guus

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
1,139
Reaction score
842
Habarini Wana Jukwaa!

Kama swali lilivyo katika "title", naomba wenye uelewa wa taratibu (legal formalities) za kufuata ili mtu aweze kupeleke mzigo wa biashara (yeyote) nje ya nchi (nchi yeyote) wanifahamishe!! Nimekuwa nikifikiria sana kuingia katika "foreign markets" lakini sijui hata wapi pa kuanzia. Lakini pia kwa sasa tuna fursa nyingi nje ya nchi ila "wajasiriamali" wetu wengi hawajui jinsi ya kuzinasa (naamini sababu ni kutokupata taarifa sahihi ikiwamo hii ya taratibu).

Naomba tufahamishane, umeshaona fursa ya kupeleka mzigo fulani nchi fulani; Nini natakiwa kufanya ili mzigo uende "formally"??
 
Back
Top Bottom