ally pazy
Member
- May 24, 2014
- 17
- 27
WA N A N C H I wa Zimbabwe wameaswa kumheshimu Rais wa zamani wa nchi hiyo, Robert Mugabe kutokana na kiongozi huyo kutumia muda mwingi wa maisha yake kushughulikia matatizo ya nchi hiyo, licha ya changamoto za hapa na pale.
Miongoni mwa mambo yanayotajwa kufanywa na Mugabe kwa nia ya kuwapigania Wazimbabwe hata kudiriki kuweka rehani maisha yake ni pamoja na vita vya kulikomboa taifa hilo kutoka kwa ukoloni wa Kiingereza, vita dhidi ya maliasili za nchi hiyo ikiwemo ardhi hadi kuasisiwa kwa vita vya Chimulenga.
WAZIMBABWE HAWATAKUWA SALAMA WAKIMBEZA MUGABE