Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Ni mwendo wa kuwa chawa tu mpaka uhakikishe kambo yako imefungwa vizuri kwenye mtu uanze kula!
====
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
“Kwa namna ya kipekee sana nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, sisi tunajivunia sana Rais Samia. Wilaya ya Mkuranga tumefanya mambo makubwa ya utekelezaji miradi ya elimu, afya, miundombinu, maji, meme nk.
"Na hii ni sababu ya Chama cha Mapinduzi kushinda katika chaguzi zijazo, maana vijiji vyote vimeshuhudia neema kubwa. Hakuna kijiji Mkuranga hakina Umeme”, Abdallah Ulega-Mbunge wa Mkuranga na Waziri wa Mifugo na Uvuvi.