Hahaha! Nauli ya kurudi kijijini kwao yenyewe hana, ijekuwa ya kukimbia nchi lol, hana lolote huyu mashauzi tu na kukosa kazi!Eti nataka nkimbie nchi, bull shit ndo suluhsho?Hawa wanawke du,uckute mpz wng ww!Mmmh,nkigundue.......
Una bahati kama Nazjaz manake hata yeye kuna waziri aliwahi kumtaka kimapenzi! Tehe!
Mnhhh.... gone are the days where quality was paramount, now everything goes in JFwana jf kuna waziri wa sekta flan na ameoa ila anansumbua ananihonga hadi gari hii inanifanya hadi nitake hama nchi
ushauri plzzzzzz
regards tracy wa njiro
Bila Yesu maisha yatakuwa mafupi saana starehe za muda hizo na mwisho wake ni majuto!!!! Tafadhari tumia akili wacha tamaa mtafute Yesu kwanza mengine ya baraka yatakuwa matunda bila kutenda dhambi!!!!!!!Una bahati wewe eeh mpaka nakuonea wivu. Hilo gari lako ni aina gani vile?! Jamani waziri wa nini niambie basi, mbona umependelewa bibie. Kesho akikununulia nyumba usikose kutu - update mbarikiwa tracy. Kwa uelewa wako faraja hii inatosha kwa leo.
Hehehe! Mke mwenza usinione kwa wasi wasi ati! Nasubiri atakwe na mme wa mtu aje kwa ushauri lol..Hahaha! Una maakili kama nyau wa kidhungu! Nilikuwa nataka kumuambia aombe ushauri kwa nazjaz manake ana uzoefu na mawaziri. Siku akitakwa na mume wa mtu akuone wewe, akitakwa na konda mvuta bhange I will be there for her!
wana jf kuna waziri wa sekta flan na ameoa ila anansumbua ananihonga hadi gari hii inanifanya hadi nitake hama nchi
ushauri plzzzzzz
regards tracy wa njiro
waziri sonyo?
wee mzushi wewe,, waziri akuhonge?? story haija balancewana jf kuna waziri wa sekta flan na ameoa ila anansumbua ananihonga hadi gari hii inanifanya hadi nitake hama nchi
ushauri plzzzzzz
regards tracy wa njiro
siku kuna Rais wa manzese, wa masharobaro nk, na mawaziri wa hivyo wapo pia etiwariri sonyo kumbe ana pesa!