Waziri Anne Waiguru abwaga manyanga

Mtegowanoti

Member
Joined
Oct 25, 2015
Posts
36
Reaction score
27
Hatimaye yule waziri kipenzi na mahiri aliyekuwa ameandamwa na kashfa ya ufisadi Kenya Ms. Anne Waiguru amekubali yaishe kwa kuachia ngazi. Huo ndiyo uwajibikaji.. Ingawa alichelewa kufanya hivyo.

==========

 
Odinga anamtaka Mhe. Rais ampatie Waiguru kazi nyingine "LAINI" daah aisee kweli mapenzi kitovu cha uzembe, dunia hii tabu sana jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…