Waziri Aweso abainisha miradi ya maji iliyokamilika na inayoendelea

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
WAZIRI AWESO ABAINISHA MIRADI YA MAJI ILIYOKAMILIKA NA INAYOENDELEA

"Wizara ya Maji imekamilisha miradi mikubwa na ya kimkakati ikiwemo mradi wa maji Arusha ambao umeongeza uzalishaji wa maji kutoka lita milioni 40 hadi lita milioni 200 kwa siku na muda wa upatikanaji wa huduma ya maji kutoka saa 12 hadi saa 24 kwa siku."

"Pia , mradi wa maji wa Butimba unaonufaisha wakazi wapatao 450,000 katika Jiji la Mwanza umekamilika na wanachi wanapata maji safi na salama"

"Aidha, Mradi wa ujenzi na uboreshaji wa mtandao wa majisafi Nzuguni (Awamu ya kwanza) umekamilika na unanufaisha wakazi 75,968."

Hayo yamesemwa na Waziri wa Maji Nchini Mhe. Jumaa Aweso wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 Bungeni Jijjini Dodoma, leo tarehe 9 Mei, 2024.

UwasilishajiWaMakadirioYaBajeti
WizaraYaMaji2024/2025
KaziIendelee

IMG-20240509-WA0105(2).jpg
 
Kuna miradi mingi imesimama tena mirafi hiyo inapita wananchi wenye vyanzo vya maji na kupeleka katika marneo mengine ya mbali tena ya mjini na kurukwa wale waliotunza vyanzo miaka na miaka hii ni dhambi kubwa sana
 
Nashauri Wizara ya maji ijitafakari na kuwasimamia wakurugenzi wa halmashauri pamoja na madiwani ambao hawatimizi wajibu wao
 
Mradi wa maji la arusha mradi, huo ulianza tangu enzi za uhai waJPM, na JPM aliwahi kutoa Tsh 500 bilioni.

Mbona mradi unaongelewa Tena na waziri waswamu yasita
 
Back
Top Bottom