Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 590
- 807
Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao kazi na Wazabuni, Wakandarasi na watoa huduma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa lengo la kusikiliza ushauri, changamoto kwa dhamira ya kudumisha msingi imara wa mahusiano na mashirikiano.