Waziri Aweso ajiachia na wimbo wa Zuchu kwenye Mahafali ya Chuo cha Maji

Waziri Aweso ajiachia na wimbo wa Zuchu kwenye Mahafali ya Chuo cha Maji

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameweza kuonyesha upande wake wa burudani kwa kucheza na kuimba wimbo wa msanii Zuchu wakati wa Mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji yaliyofanyika leo, Novemba 13, 2024, katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam ambapo alikuwa mgeni rasmi.

 
Wakija kitaa hiyo nyimbo aichezeki tena
 
Back
Top Bottom