Waziri Aweso anaagiza wahandisi wa Maji kusimamishwa kazi ila baada ya miezi mitatu wanarudishwa kazini. Huu ni usanii mkubwa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Mfanyakazi akifukuzwa kazi hata kama kakutwa ameiba, akienda mahakamani anashinda kesi na analipwa na kurejeshwa kazini.

Mara nyingi hawapendi kufukuza wafanyakazi
 
Ukifuatilia usimamishwaji kazi wa wahandisi wa maji unaofanywa na Jumaa Aweso, ni usanii mtupu!

Unakuta mhandisi anasimamishwa kazi kwa ubadhilifu wa mali ya umma au uzembe, baada ya miezi mitatu kupita mhandisi anahamishiwa wilaya nyingine.

Aweso ni msanii.

Pia soma
Wanajuana kwenye mgao hao. Wanawaona wananchi wajinga
 
Ukifuatilia usimamishwaji kazi wa wahandisi wa maji unaofanywa na Jumaa Aweso, ni usanii mtupu!

Unakuta mhandisi anasimamishwa kazi kwa ubadhilifu wa mali ya umma au uzembe, baada ya miezi mitatu kupita mhandisi anahamishiwa wilaya nyingine.

Aweso ni msanii.

Pia soma
TENA ANAPENDA KIKI HAKUNA KITU HAPO
 
Ukifuatilia usimamishwaji kazi wa wahandisi wa maji unaofanywa na Jumaa Aweso, ni usanii mtupu!

Unakuta mhandisi anasimamishwa kazi kwa ubadhilifu wa mali ya umma au uzembe, baada ya miezi mitatu kupita mhandisi anahamishiwa wilaya nyingine.

Aweso ni msanii.

Pia soma
Tunasahau kuwa Waziri siyo mtendaji seriklini.
Mtendaji ni Katibu Mkuu wa Wizara, na kama taratibu za kumfukuza kazi mtuhumiwa zisipokidhi , uamuzi wa Waziri ni batili.
 
Back
Top Bottom