Waziri Aweso: Bilioni 195 kumaliza tatizo la maji Morogoro. MORUWASA Mkizingua tunazinguana

Waziri Aweso: Bilioni 195 kumaliza tatizo la maji Morogoro. MORUWASA Mkizingua tunazinguana

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Waziri Aweso aunguruma Morogoro

Salam za Wizara ya Maji zikitolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso kwa wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliokusanyika katika uwanja wa Jamhuri katika Mkutano wa hadhara wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ziara inayoendelea mkoani Morogoro leo terehe 06 Julai,2024.

Soma Pia: MORUWASA: Tuna upungufu wa uzalishaji maji kwa 49% ndio maana Morogoro kuna mgao

Kwanini hii post imekatiliwa na wana Moro hadi sisi kanda ingine tunatia timu ingawa hayo maji hayatuhusu? Nini shida? Ulaghai mwingi?
 
Siasa ni utapeli. It is complete fraud.
 
Kufikia mwakani tatizo la Maji litakuwa limekwisha!
 
Kwanini hii post imekatiliwa na wana Moro hadi sisi kanda ingine tunatia timu ingawa hayo maji hayatuhusu? Nini shida? Ulaghai mwingi?
Pana ujinga mwingi sana kuhusu maji manispaa ya murogoro. Sisi tumerogwa, miji inavyanzo kibao lakini wanachi wanateseka kuhusu maji.

Hizi ahadi toka 2007 nasikia kero ya maji sasa basi. Lkn makalu ndo yamezidi hasa kwa mji kukua kwa kasi.
 
AWEZO NI TAPELI NA MUONGO! NI MOJA YA MAWAZIRI VILAZA KUPATA KUTOKEA KWENYE HIYO WIZARA. NI MWIZI NA FISADI MKUBWA. BAHATI MBAYA TAASISI YETU YA TIIZI NAYO IMEOZA. HUYU HAPASWI HATA KUWA DIWANI. SA100 KAMA WAPITA HUKU MCHUNGUZENI HUYU MWIZI ANAYEWATAPELI KWA KUTUMIA MEDIA
 
Back
Top Bottom