KERO Waziri Aweso, DAWASCO Mbezi Mwisho hakuna maji wiki ya pili sasa tatizo nini? Kesho tunaandamana hadi kwa DC wa Ubungo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Pale njia panda ya goma maji yapo yauzwa kwenye magari na kuzungushwa mitaani ila bombani hakuna mnatuona wajinga?

Ile ziara yako nasikia ulifukuza watu pale DAWASCO kimara ndio hawa wanafanya hujuma, wanafanya maksudi haiwezekani majumbani hakuna maji wiki mbili ila wauzaji wako Bize na maboza kuuza maji .

Mwenye namba za mh waziri aiweke hapa

USSR

Pia soma:

DAWASCO ilishavunjwa na Magufuli na kuunganishwa na DAWASA.
 
Wengi mnampenda huyo Aweso. Ila hiyo Wizara imeshamshinda ama lah anakula urefu wa kamba yake...
Kuna watu wanakaa miezi 6 hawana maji, miezi 3 ni kawaida. Anaambiwa hakuna anachofanya. Maji ni Uhai, awekwe mtu mwenye utu hii Wizara, hivi watu kukosa maji miezi yote hiyo na uchumi huu kweli?
 
Aweso anandoa mbili labda yupo Bize na kunyandua

Kwa kweli, yaani hana habari kama maji ni muhimu kwa matumizi ya kila siku. Na ni kati ya mawaziri wasio wasikivu. I wish hii Wizara apewe Mama Mh. Doroth Gwajima
 
Pale njia panda ya goma maji yapo yauzwa kwenye magari na kuzungushwa mitaani ila bombani hakuna mnatuona wajinga?

Ile ziara yako nasikia ulifukuza watu pale DAWASCO kimara ndio hawa wanafanya hujuma, wanafanya maksudi haiwezekani majumbani hakuna maji wiki mbili ila wauzaji wako Bize na maboza kuuza maji .

Mwenye namba za mh waziri aiweke hapa

USSR

Pia soma:

Wiki ya pili, huku mieziii
 
Back
Top Bottom