JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka wasoma mita kuacha mara moja kuwakatia maji wananchi siku ya sikukuu ama jumamosi na jumapili kwa kuwa ni haki yao.Aidha amesisitiza wananchi waombapo kuunganishiwa maji basi siku saba zitoshe kukamilisha zoezi hilo.
Pia soma Meneja wa usambazaji maji MORUWASA asimamishwa kazi
Pia soma Meneja wa usambazaji maji MORUWASA asimamishwa kazi