DOKEZO Waziri Aweso njoo Ofisi ya Maji Buzuruga - Mwanza (Ilemela), kuna mazingira ya urasimu na upendeleo

DOKEZO Waziri Aweso njoo Ofisi ya Maji Buzuruga - Mwanza (Ilemela), kuna mazingira ya urasimu na upendeleo

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Leo nina ujumbe ambao nataka unawahusu baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Maji Buzuruga - Mwanza ambayo ndio Ofisi ya Maji Ilemela, kwa ufupi ni kama inanuka Rushwa ya waziwazi.

Imekuwa kawaida kuona Watu wanalipia kuunganishiwa huduma ya maji lakini wanalazimika kusubirishwa hadi miezi sita.

Ukiuliza unaambiwa Mita zipo, vifaa hamna, wanatengeneza mazingira ya mtu kulipia vifaa mara mbili.

Tunaomba Waziri Jumaa Aweso asikilize kilio chetu, Watu wanaunganishiwa maji kwa upendeleo.

Soma Pia: Chato: Waziri Aweso asikitishwa na Mkurugenzi mtovu wa nidhamu, amuweka pembeni
 
Back
Top Bottom