Waziri Bashe aache kuingilia majukumu ya wizara nyingine

baro

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
3,129
Reaction score
4,028
Waziri Bashe tumeona kwa miezi kadhaa umezindua program inaitwa BBT (Building Better Tomorrow), ambayo itafanywa na wizara ya Kilimo kwa ajili ya vijana , hii ni Kuingilia majukumu ya Wizara ya VIJANA, AJIRA ,KAZI na WATU WENYE ULEMAVU.

Hii unayofanya kwenye BBT ni Skills development na Capital creation ambayo sio kazi ya Wizara ya Kilimo ni kazi ya Wizara ya VIJANA, maana wizara ya vijana ndio imekuwa na jukumu la kuandaa program mbalimbali kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana na kuwakopesha mitaji, hii wamekuwa walifanya kwa ushirikiano na wizara ya TAMISEMI, KILIMO n.k

Bashe tunakuomba jikite na kukikwamua kilimo ambacho kinakufa mikononi mwako maana stakeholders wengi wa kilimo unawavuruga na hii kupelekea wengi kukaa kimya wakikuangalia tu

Tangu lini wizara ya Kilimo ikahusika na Skills development ya vijana kama unavyofanya kwenye BBT?

Nakushauri jikite kwenye kuwezesha wakulima Wapate mikopo kwa hati za kimila au kubwa ba sio kwa dhamana ya nyumba, jikite kuwavutia watu wapende kilimo na sio kuwakatisha tamaa.

Pia nyakati zinabadilika sana. Kuna kampuni za kilimo zinahusika na kuwalimia watu, hawa ni wadau wa kilimo Kaa nao uwasikilize na kujua changamoto zao na Serikali Ione inawasaidiaje na sio kuwatukana kila siku huku serikali hiyohiyo imewasajili hadi soko la DSE, na hizi kampuni nyingine zimezinduliwa hadi na viongozi wakubwa wa Serikali akiwemo Waziri Mkuu mmoja mstaafu, hivyo kama kuna makosa ukae nao na kurekebisha na sio kutoa vitisho maana unaua sekta ya Kilimo wewe Mwenyewe

Jikite kwenye kutatua changamoto sio kutuhumu, Hadi sasa Kuna changamoto za MBOLEA, upungufu wa chakula leo hii kilo ya unga ni 2000, mchele ni 3500, maharage ni 4500. Je, ni Watanzania wangapi Wana mudu hizi gharama?

Ukiona watu wameingia kwenye Kilimo Waite wasaidie wanapokwama ili uzalishaji uwe mkubwa zaidi.

Program ya BBT wizara Yako ikabidhini wizara ya Vijana, Ajira na Kazi ndio inatakiwa iwe huko nyie wizara toeni msaada wa kitaalam na sio kuiendesha sio kazi ya Wizara ya Kilimo.
 
Pia nyakati zinabadilika sana. Kuna kampuni za kilimo zinahusika na kuwalimia watu, hawa ni wadau wa kilimo Kaa nao uwasikilize na kujua changamoto zao na Serikali Ione inawasaidiaje na sio kuwatukana Kila siku huku serikali hiyohiyo imewasajili Hadi soko la DSE, na hizi kampuni nyingine zimezinduliwa Hadi na viongozi wakubwa wa Serikali akiwemo Waziri Mkuu mmoja mstaafu, hivyo kama Kuna makosa ukae nao na kurekebisha na sio kutoa vitisho maana unaua sekta ya Kilimo wewe Mwenyewe

Jikite kwenye kutatua changamoto sio kutuhumu, Hadi sasa Kuna changamoto za MBOLEA, upungufu wa chakula Leo hii Kilo ya unga ni 2000, mchele ni 3500, maharage ni 4500. Je, ni Watanzania wangapi Wana mudu hizi gharama?

Ukiona watu wameingia kwenye Kilimo Waite wasaidie wanapokwama ili uzalishaji uwe mkubwa zaidi.

Program ya BBT wizara Yako ikabidhini wizara ya Vijana, Ajira na Kazi ndio inatakiwa iwe huko nyie wizara toeni msaada wa kitaalam na sio kuiendesha sio kazi ya Wizara ya Kilimo.
"Mimi kama Waziri wa Kilimo,am ready carry political responsibility".Yule jamaa chenga sana lakini kwa sisi ambao tunaielewa sekta ya Kilimo ila kwa machawa yupo sahihi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
"Pia nyakati zinabadilika sana. Kuna kampuni za kilimo zinahusika na kuwalimia watu, hawa ni wadau wa kilimo Kaa nao uwasikilize na kujua changamoto zao na Serikali Ione inawasaidiaje na sio kuwatukana kila siku huku serikali hiyohiyo imewasajili hadi soko la DSE, na hizi kampuni nyingine zimezinduliwa hadi na viongozi wakubwa wa Serikali akiwemo Waziri Mkuu mmoja mstaafu, hivyo kama kuna makosa ukae nao na kurekebisha na sio kutoa vitisho maana unaua sekta ya Kilimo wewe Mwenyewe"

Hapa kuna point, tujaribu angalia hizi njia na kuziboresha kutwa kuwapiga vita wakati watu wanawaelewa si sahihi.
 
Waziri Bashe tumeona kwa miezi kadhaa umezindua program inaitwa BBT (Building Better Tomorrow), ambayo itafanywa na wizara ya Kilimo kwa ajili ya vijana , hii ni Kuingilia majukumu ya Wizara ya VIJANA, AJIRA ,KAZI na WATU WENYE ULEMAVU.

Hii unayofanya kwenye BBT ni Skills development na Capital creation ambayo sio kazi ya Wizara ya Kilimo ni kazi ya Wizara ya VIJANA, maana wizara ya vijana ndio imekuwa na jukumu la kuandaa program mbalimbali kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana na kuwakopesha mitaji, hii wamekuwa walifanya kwa ushirikiano na wizara ya TAMISEMI, KILIMO n.k

Bashe tunakuomba jikite na kukikwamua kilimo ambacho kinakufa mikononi mwako maana stakeholders wengi wa kilimo unawavuruga na hii kupelekea wengi kukaa kimya wakikuangalia tu

Tangu lini wizara ya Kilimo ikahusika na Skills development ya vijana kama unavyofanya kwenye BBT?

Nakushauri jikite kwenye kuwezesha wakulima Wapate mikopo kwa hati za kimila au kubwa ba sio kwa dhamana ya nyumba, jikite kuwavutia watu wapende kilimo na sio kuwakatisha tamaa.

Pia nyakati zinabadilika sana. Kuna kampuni za kilimo zinahusika na kuwalimia watu, hawa ni wadau wa kilimo Kaa nao uwasikilize na kujua changamoto zao na Serikali Ione inawasaidiaje na sio kuwatukana kila siku huku serikali hiyohiyo imewasajili hadi soko la DSE, na hizi kampuni nyingine zimezinduliwa hadi na viongozi wakubwa wa Serikali akiwemo Waziri Mkuu mmoja mstaafu, hivyo kama kuna makosa ukae nao na kurekebisha na sio kutoa vitisho maana unaua sekta ya Kilimo wewe Mwenyewe

Jikite kwenye kutatua changamoto sio kutuhumu, Hadi sasa Kuna changamoto za MBOLEA, upungufu wa chakula leo hii kilo ya unga ni 2000, mchele ni 3500, maharage ni 4500. Je, ni Watanzania wangapi Wana mudu hizi gharama?

Ukiona watu wameingia kwenye Kilimo Waite wasaidie wanapokwama ili uzalishaji uwe mkubwa zaidi.

Program ya BBT wizara Yako ikabidhini wizara ya Vijana, Ajira na Kazi ndio inatakiwa iwe huko nyie wizara toeni msaada wa kitaalam na sio kuiendesha sio kazi ya Wizara ya Kilimo.
we ndiyo umechanganyikiwa na hizo unaziita skills development, skills ktk nini, mmezoea nadharia kwenye matamasha kuwadanganya wananchi mnawafundisha skills development kwenye makaratasi nyie ni wezi matapeli. waziri yuko field anazungumzia skills ktkt kilimo we unataka ufundishie dar es Salaam. Hata hivyo we ni nani kusema waziri anaingilia majukumu ya wizara nyingine, nchi hii ina rais ndiyo amewapangia mawaziri wake majukumu ndiyo anayeweza pengine kumkumbusha waziri wake. All in all serikali ni moja. Fanya kazi halali siyo maujanjaujanja yenu mliyoyazoea.
 
Ipo siku atakuja kukiri kuwa ameskosea kama alivyokiri bungeni kukosea kuhusu suala la uagizaji Mbolea

Wewe ni chawa tu ambaye hujui lolote zaidi ya kupewa pesa ya bando

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Waziri Bashe tumeona kwa miezi kadhaa umezindua program inaitwa BBT (Building Better Tomorrow), ambayo itafanywa na wizara ya Kilimo kwa ajili ya vijana , hii ni Kuingilia majukumu ya Wizara ya VIJANA, AJIRA ,KAZI na WATU WENYE ULEMAVU.

Hii unayofanya kwenye BBT ni Skills development na Capital creation ambayo sio kazi ya Wizara ya Kilimo ni kazi ya Wizara ya VIJANA, maana wizara ya vijana ndio imekuwa na jukumu la kuandaa program mbalimbali kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana na kuwakopesha mitaji, hii wamekuwa walifanya kwa ushirikiano na wizara ya TAMISEMI, KILIMO n.k

Bashe tunakuomba jikite na kukikwamua kilimo ambacho kinakufa mikononi mwako maana stakeholders wengi wa kilimo unawavuruga na hii kupelekea wengi kukaa kimya wakikuangalia tu

Tangu lini wizara ya Kilimo ikahusika na Skills development ya vijana kama unavyofanya kwenye BBT?

Nakushauri jikite kwenye kuwezesha wakulima Wapate mikopo kwa hati za kimila au kubwa ba sio kwa dhamana ya nyumba, jikite kuwavutia watu wapende kilimo na sio kuwakatisha tamaa.

Pia nyakati zinabadilika sana. Kuna kampuni za kilimo zinahusika na kuwalimia watu, hawa ni wadau wa kilimo Kaa nao uwasikilize na kujua changamoto zao na Serikali Ione inawasaidiaje na sio kuwatukana kila siku huku serikali hiyohiyo imewasajili hadi soko la DSE, na hizi kampuni nyingine zimezinduliwa hadi na viongozi wakubwa wa Serikali akiwemo Waziri Mkuu mmoja mstaafu, hivyo kama kuna makosa ukae nao na kurekebisha na sio kutoa vitisho maana unaua sekta ya Kilimo wewe Mwenyewe

Jikite kwenye kutatua changamoto sio kutuhumu, Hadi sasa Kuna changamoto za MBOLEA, upungufu wa chakula leo hii kilo ya unga ni 2000, mchele ni 3500, maharage ni 4500. Je, ni Watanzania wangapi Wana mudu hizi gharama?

Ukiona watu wameingia kwenye Kilimo Waite wasaidie wanapokwama ili uzalishaji uwe mkubwa zaidi.

Program ya BBT wizara Yako ikabidhini wizara ya Vijana, Ajira na Kazi ndio inatakiwa iwe huko nyie wizara toeni msaada wa kitaalam na sio kuiendesha sio kazi ya Wizara ya Kilimo.
Huyu atakuwa Jatu, Vanilla Investment au Mr kuku
 
Kapiga mpunga wenu maana si kwa malalamiko haya 😎 😎
 
"Mimi kama Waziri wa Kilimo,am ready carry political responsibility".Yule jamaa chenga sana lakini kwa sisi ambao tunaielewa sekta ya Kilimo ila kwa machawa yupo sahihi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji91][emoji91][emoji91]Kuna watu mna akili,mpaka zimwagika/zinafulumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waziri Bashe tumeona kwa miezi kadhaa umezindua program inaitwa BBT (Building Better Tomorrow), ambayo itafanywa na wizara ya Kilimo kwa ajili ya vijana , hii ni Kuingilia majukumu ya Wizara ya VIJANA, AJIRA ,KAZI na WATU WENYE ULEMAVU.

Hii unayofanya kwenye BBT ni Skills development na Capital creation ambayo sio kazi ya Wizara ya Kilimo ni kazi ya Wizara ya VIJANA, maana wizara ya vijana ndio imekuwa na jukumu la kuandaa program mbalimbali kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana na kuwakopesha mitaji, hii wamekuwa walifanya kwa ushirikiano na wizara ya TAMISEMI, KILIMO n.k

Bashe tunakuomba jikite na kukikwamua kilimo ambacho kinakufa mikononi mwako maana stakeholders wengi wa kilimo unawavuruga na hii kupelekea wengi kukaa kimya wakikuangalia tu

Tangu lini wizara ya Kilimo ikahusika na Skills development ya vijana kama unavyofanya kwenye BBT?

Nakushauri jikite kwenye kuwezesha wakulima Wapate mikopo kwa hati za kimila au kubwa ba sio kwa dhamana ya nyumba, jikite kuwavutia watu wapende kilimo na sio kuwakatisha tamaa.

Pia nyakati zinabadilika sana. Kuna kampuni za kilimo zinahusika na kuwalimia watu, hawa ni wadau wa kilimo Kaa nao uwasikilize na kujua changamoto zao na Serikali Ione inawasaidiaje na sio kuwatukana kila siku huku serikali hiyohiyo imewasajili hadi soko la DSE, na hizi kampuni nyingine zimezinduliwa hadi na viongozi wakubwa wa Serikali akiwemo Waziri Mkuu mmoja mstaafu, hivyo kama kuna makosa ukae nao na kurekebisha na sio kutoa vitisho maana unaua sekta ya Kilimo wewe Mwenyewe

Jikite kwenye kutatua changamoto sio kutuhumu, Hadi sasa Kuna changamoto za MBOLEA, upungufu wa chakula leo hii kilo ya unga ni 2000, mchele ni 3500, maharage ni 4500. Je, ni Watanzania wangapi Wana mudu hizi gharama?

Ukiona watu wameingia kwenye Kilimo Waite wasaidie wanapokwama ili uzalishaji uwe mkubwa zaidi.

Program ya BBT wizara Yako ikabidhini wizara ya Vijana, Ajira na Kazi ndio inatakiwa iwe huko nyie wizara toeni msaada wa kitaalam na sio kuiendesha sio kazi ya Wizara ya Kilimo.
Sasa kama mawaziri wengine ni mizigo na hawaelewi Nini wafanye si lazima atokee mtu wa kuwaonesha ujinga wao. Sasa kama mhagama pale anafanya kazi Gani. Hata Mme wake yule aliyemuua kisa ubunge huko aliko atakuwa anamshangaa.
 
Mhagama ameshahamishwa ile wizara kitambo tu yupo Joyce

Back
Top Bottom