Tangu akiwa mbunge,huyu bwana hussein bashe amekua na tabia kama mtoto mdogo za kula kucha..hata baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa kilimo bado ameendelea kula kucha,kama kuna mtu yuko karibu yake humu amwambie anajitia aibu na anatutia aibu watanzania,baba zima kama yeye kula kucha ni aibu.
Mfano leo kwenye vikao vya sadc camera zimemmulika yuko busy tu anagugumia kucha badala ya kuconcentrate na mambo ya msingi yanayoendelea mkutanoni.
Mimi nakusihi wewe mleta mada uwache kufuatilia maisha binafsi ya mtu ambayo hayana athari yoyote kwakoTangu akiwa mbunge,huyu bwana hussein bashe amekua na tabia kama mtoto mdogo za kula kucha..hata baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa kilimo bado ameendelea kula kucha,kama kuna mtu yuko karibu yake humu amwambie anajitia aibu na anatutia aibu watanzania,baba zima kama yeye kula kucha ni aibu.
Mfano leo kwenye vikao vya sadc camera zimemmulika yuko busy tu anagugumia kucha badala ya kuconcentrate na mambo ya msingi yanayoendelea mkutanoni.
Una hisa kwenye kucha za Bashe? Ule ni mwili wake hata akitaka alambe kamasi zake huwezi kumzuia, fanya kinachokuhusu.Mkuu mimi ni mme wako?..kilichokufanya ulete shobo zako hapa nini?
Mkuu we yako imeubwaje..kwanini unaleta shobo kwenye mambo ya shobo?acha kushobokea mambo ya kiumeMleta mada sijui akili yako imeumbwaje? Sasa mambo ya mtu kula kucha yamekuumiza nini mpk unatokwa na povu hapa? Kwanza ujue kuna watu kula kucha ni tabia ambayo kuiacha sio rahisi sana na kula kucha hakumaanishi kwamba haja concentrate! Kuna mtu tunae job ana familia ya watoto 3 lkn imeshindikana kuacha kula kucha sasa wewe endelea kufuatilia minor issues
At least mkuu you have a ward,kuna waswahili humu ndani wao kzimbabwean mada lazima wachangie hata kama ni utumbo.Tatizo hilo ni la kitaalamu, wengine wanasema kula kucha ni ishara ya stress na wengine wanasema ni upungufu wa madini fulani mwilini etc
Tafiti bado zinaendelea