Waziri Bashe aache utoto wa kula kucha..

Daaah watoto wa kume mna wivu kwa wanaume wenzenu sana shida nini kwani kuna mambo mengine ni mtu yeye kama yeye.
 
Hii tabia ya kula kucha imekaa kitaalamu sana mleta mada,,ngoja ntakuja kuizungumzia Siku moja kiutaalamu zaidi
 
Anaingiza kidole puani halafu anakula. Eew!
 
Wabongo kwa kushadadia issue za kipuuzi ‘Alhamdulillah ‘ tumejaaliwa

Alhamdulillah maana yake sifa zote njema/himidi zote ni za Allah. Sasa sijui imehusikia vipi hapa
 
Unajua maana ya alama nilizoweka kwenye 'Alhamdulillah'?, tuanzie hapa kwanza
Alhamdulillah maana yake sifa zote njema/himidi zote ni za Allah. Sasa sijui imehusikia vipi hapa
 
Chuki tu
 
Tumshauri anunue zile za kubandika iak aangalie gundi zinaozesha afu aongezewe kachumbari ya mbilimbi ili ale bizuri
 
Dawa ya mtu anaekula kucha ni kula dagaa kwa wingi automatically ham ya kula kucha itakataa yenyewe.... jaribu utakuja kuniambia
 
Mimi nimewahi kuuliza baadhi ya watu, japo sina uthibitisho wa kisayansi, ila binafsi naona kabisa kuna uhusiani mkubwa tu Kati ya akili nyingi na wala kucha.
Nafikiri kweli upo uhusiano
 
Dawa ya mtu anaekula kucha ni kula dagaa kwa wingi automatically ham ya kula kucha itakataa yenyewe.... jaribu utakuja kuniambia
napenda sana dagaa na nazila haswa ila kula kucha hiyo ni issue nyingine ngumu sana kuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…