Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesaini mikataba mitatu ya ushirikiano na makampuni matatu Dubai, nchini U.A.E. Makampuni hayo ni pamoja na Ofisi binafsi ya biashara ya mwana Mfalme Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, AFRIDE na DMCC pamoja na Agritech Global.
Mikataba hiyo imesainiwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 27 Februari 2022, jijini Dubai.
Mikataba hii ni sehemu ya mafanikio ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya kimataifa ya Dubai Expo 2020, ambapo mataifa 192 yameshiriki maonyesho hayo.
@hhshkmohd