Waziri Bashe amesaini mikataba mitatu ya ushirikiano na makampuni matatu Dubai, nchini U.A.E

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesaini mikataba mitatu ya ushirikiano na makampuni matatu Dubai, nchini U.A.E. Makampuni hayo ni pamoja na Ofisi binafsi ya biashara ya mwana Mfalme Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, AFRIDE na DMCC pamoja na Agritech Global.

Mikataba hiyo imesainiwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 27 Februari 2022, jijini Dubai.

Mikataba hii ni sehemu ya mafanikio ya Tanzania kushiriki katika maonyesho makubwa ya kimataifa ya Dubai Expo 2020, ambapo mataifa 192 yameshiriki maonyesho hayo.

@hhshkmohd



 
M
Mbona hutuelezi mkataba hiyo itahusisha nini? Kwa mfano.: amesaini mkataba wa kwanza ni kuwauzia Tani 10 za mabungo (2) kushilikiana kuanzisha kilimo cha mbilimbi Mkulanga (3) kuanzisha kiwanda cha kutengeneza kamba za mgomba huko Karagwe kwa ajili ya nywele bandia!
 
Kama makubaliano hayajawekwa wazi tukae tayari keletewa Yale makitu yanayoua asili ya udongo wetu yanaitwa DAP, NPK, UREA, CAN n.k
 
Msoma.... Na Muara.... Wanasaini makubaliano kwa interest za mmatumbi.

Our state apparatus zipo likizo au??
 
Wabongo bwana, Wanakwambia eti SSH kaenda sabasaba Dubai.
 
Msoma.... Na Muara.... Wanasaini makubaliano kwa interest za mmatumbi.

Our state apparatus zipo likizo au??
Una uhakika gani kama Msoma sio Mtanzania halisi kuliko wengi wanaopiga kelele humu jukwaani?. Bob Marley alikuwa nusu mzungu nusu mjamaica lakini alikuwa mzalendo kuliko wajamaica wengi wenye ujamaica wa asilimia mia moja.
 
Hivi hao waarabu wanataka kuja kukima.nini Tanzania? Tende?
 
Watia saini mbona si waTanzania wa asili !.Mmoja mkojani na mwingine msomali.
 
Watia saini mbona si waTanzania wa asili !.Mmoja mkojani na mwingine msomali.
Halafu mleta mada anasema Bashe ndio kasaini.

Kwa maana hiyo hayo makubaliano ni ya Bashe mwenyewe na sisi kama Tanzania hatuhusiki.

Sasa wasije tuletea tu madai mengine hapa wakati aliyesaini mkataba ni bashe.
 


WELCOME TO THE PRIVATE OFFICE OF​

HIS HIGHNESS SHEIKH​

AHMED DALMOOK​

AL MAKTOUM​



The Private Office has a portfolio of privately held group companies that focus mainly on Infrastructure Development, Energy Projects, LNG Terminal Development, Commodity & Oil Trading, Water Desalination, Water Recirculation as well as Education and Agricultural Projects.

FOCUS​



We bring extensive experience in developing, implementing and executing fast-track power projects. We have a diversified portfolio across Energy, Oil & Gas (including LNG), Infrastructure, Agriculture and Education sectors.
Our subsidiaries are becoming prominent across the energy and LNG arena, with international presence across Middle East, Africa and South Asia we aim to increase our portfolio and size in investments made across these regions

READ MORE : source : Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum
 
Huyu Bashe hako ka bangiri sijui ka ushanga mkononi ni dawa ya bahati au ndiyo kinga yenyewe?
 
Msiogope. Dubai tuna uhusiano nao muda mrefu hata wakati mchonga meno yuko hai watu walikuwa wanaenda kule kufanya biashara.
 
Hakuna chochote upuuzi mtupu kama wakulima wa Taifa hili wanaishi kama kuku wa kideli mbolea bei juuu hakuna haja ya kusain ma mikataba mengi yote hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…