Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

Pole sana mkuu, ni mbegu za zao gani?.
Kama ni zao la alizeti hizo ndio zimesambazwa kwenye idara tofauti za kilimo kwa ajili ya kuwauzia wakulima ambapo kilo mbili ni 7000. Rai yangu ni mue na subira pesa yenu ipo.
 
Wapo wakulima waliolima mahindi, maharage na ngano
Pesa ipo kwa utaratibu upi mbona hamuwaelezi wakulima kinachoendelea mnapigiwa hampokei simu? Tuandikieni barua kutuhakikishia tunalipwa lini ?.
 
Pole sana mkuu, ni mbegu za zao gani?.
Kama ni zao la alizeti hizo ndio zimesambazwa kwenye idara tofauti za kilimo kwa ajili ya kuwauzia wakulima ambapo kilo mbili ni 7000. Rai yangu ni mue na subira pesa yenu ipo.
Yaani statement kama hii ni ya kisiasa mno. Hawa watu mnawasaidiaje maana nina wasiwai kama wataingia mkataba mwingine. Fedha ipo ?
 
Pole sana mkuu, ni mbegu za zao gani?.
Kama ni zao la alizeti hizo ndio zimesambazwa kwenye idara tofauti za kilimo kwa ajili ya kuwauzia wakulima ambapo kilo mbili ni 7000. Rai yangu ni mue na subira pesa yenu ipo.
Kama fedha ipo itabidi muwalipe pamoja na riba maana kama itabidi wainngie mkataba mwaka huu 2022 bei za pembejeo zimepanda karibia mara mbili . hiyo difference inayotokana na inflation mnaifidia vipi.
 
Mimi ni mkulima niliyeingia mkataba kuzalisha kwenye zaidi ya ekari 100 na hadi ninapoongea nimezungushwa vya kutosha
Ulitakiwa kulipwa December 2021 na hii ni January 2022 nafikiri kusema umezungushwa vya kutosha siyo sawa.
 
Kama fedha ipo itabidi muwalipe pamoja na riba maana kama itabidi wainngie mkataba mwaka huu 2022 bei za pembejeo zimepanda karibia mara mbili . hiyo difference inayotokana na inflation mnaifidia vipi.
Pia kuna kitu kinaitwa time value for money kwa maana uwezo wa kununu kitu kwa shilingi moja mwaka jana unapungua kila siku. Tukubali ASA mmewaangusha wakulima na mnatakiwa muwajibike.
 
Ulitakiwa kulipwa December 2021 na hii ni January 2022 nafikiri kusema umezungushwa vya kutosha siyo sawa.
Halafu kumbuka hii ni taasisi ya serikali na sio private sector. Kama serikali ikifanya hivi je itakuwa na uwezo wa kuiwajibisha private sector ?
 
Kwa ufupi wanatuvunja moyo kuingia mkataba mwingine na hata wengine waliokuwa tayari kufanya kazi na ASA watarudi nyuma. Sisi tunalima na kuzalisha kwa wakati muafaka. je wao wanao tatizo gani kutulipa kwa wakati? Na kama kulikuwa na tatizo kwa nini hawatupi mrejesho na badala yake hawapokei simu .?
 
Halafu kumbuka hii ni taasisi ya serikali na sio private sector. Kama serikali ikifanya hivi je itakuwa na uwezo wa kuiwajibisha private sector ?
Nafikiri ndiyo maana ofisi nyingi zinazobid tender kama hazina mtaji wa kutosha hazijihusishi na tender za serikali kwakua malipo yao hua yanachelewa. Waweza shangaa inabidi usubiri mpaka mwanzo wa mwaka wa fedha
 
Pole sana mkuu, ni mbegu za zao gani?.
Kama ni zao la alizeti hizo ndio zimesambazwa kwenye idara tofauti za kilimo kwa ajili ya kuwauzia wakulima ambapo kilo mbili ni 7000. Rai yangu ni mue na subira pesa yenu ipo.
Acheni ujanja ujanja nyie madokta pori lipeni hela za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…