Waziri Bashungwa: Bei elekezi ya Barakoa ni sh 1500 nchi nzima

Waziri Bashungwa: Bei elekezi ya Barakoa ni sh 1500 nchi nzima

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amesema bei ya barakoa zinazotengenezwa hapa nchini hazitakiwi kuzidi Tsh. 1,500.

Yoyote atakayekwenda kinyume na agizo hili hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.

Chanzo: Clouds tv!
 
Sisi tunatumia zile za kitambaa za kushona tulizoshauriwa na mkuu wa kaya, zinafuliwa na kunyooshwa na pasi[emoji2445][emoji2445][emoji2445]

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Zote hizo? Kesho nanunua cherehani nianze kushona zangu
 

Attachments

  • IMG-20200427-WA0059.jpg
    IMG-20200427-WA0059.jpg
    60.4 KB · Views: 2
  • IMG-20200427-WA0038.jpg
    IMG-20200427-WA0038.jpg
    27.7 KB · Views: 1
  • IMG-20200427-WA0041.jpg
    IMG-20200427-WA0041.jpg
    26.3 KB · Views: 1
Waziri wa viwanda na biashara mh Bashungwa amesema bei ya barakoa zinazotengenezwa hapa nchini hazitakiwi kuzidi sh 1500

Yoyote atakayekwenda kinyume na agizo hili hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.

Source Clouds tv!


Hivi kwenye uchumi wa soko bado "PRICE CONTROL" Iko practical ?
Mimi nadhani angehimiza uzalishaji zaidi price vs demand ifike Equilbrium point na automatically bei inashuka
 
Sasa barakoa za nn wakati tushadhibiti maambukizi

Kwa kujifukiza
 
Serikali inaona shida gani kuzigawa bure hizi barakoa?
Basi wauze 500 kwa wananchi baada ya serikali kuchangia 1000 kwa kila barakoa ili mtu aweze kununua angalau 2 per day . Hii nchi kila linapokuja suala la kutoa fedha wanakuwa wagumu.
Zipo za 500 zinashonwa na mafundi mtaan
 
Barakoa bei kubwa mara tatu ya bei ya kondom! Kwani material inayotumika kutengenezea barakoa ni ghali kuliko material za kutengeneza kondom?
 
Barakoa bei kubwa mara tatu ya bei ya kondom! Kwani material inayotumika kutengenezea barakoa ni ghali kuliko material za kutengeneza kondom?
Basi vaa kondomu usoni bwashee!

Natania tu.
 
ℕ𝕚𝕝𝕚𝕕𝕙𝕒𝕟𝕚 𝕜𝕒𝕞𝕒 𝕤𝕖𝕣𝕚𝕜𝕒𝕝𝕚,𝕒𝕟𝕘𝕖𝕤𝕖𝕞𝕒 𝕤𝕖𝕙𝕖𝕞𝕦 𝕪𝕒 𝕄𝕤𝕒𝕒𝕕𝕒 𝕨𝕒 𝕡𝕖𝕤𝕒 𝕨𝕒𝕝𝕚𝕫𝕠𝕡𝕖𝕨𝕒 𝕟𝕒 𝕨𝕒𝕕𝕙𝕒𝕞𝕚𝕟𝕚 𝕨𝕒𝕟𝕒𝕟𝕦𝕟𝕦𝕒 𝔹𝕒𝕣𝕒𝕜𝕠𝕒 𝕟𝕒 𝕜𝕚𝕫𝕚𝕘𝕒𝕨𝕒 𝕓𝕦𝕣𝕖 𝕜𝕨𝕒 𝕣𝕒𝕚𝕒 𝕨𝕒𝕜𝕖....𝕂𝕦𝕞𝕓𝕖 𝕨𝕒𝕟𝕒𝕥𝕠𝕒 𝕓𝕖𝕚 𝕖𝕝𝕖𝕜𝕖𝕫𝕚 𝕫𝕒 𝕜𝕦𝕦𝕫𝕒 𝕜𝕒𝕞𝕒 𝕒𝕞𝕓𝕒𝕧𝕪𝕠 𝕨𝕒𝕟𝕒𝕥𝕠𝕒 𝕜𝕒𝕥𝕚𝕜𝕒 𝕜𝕦𝕡𝕒𝕟𝕘𝕒 𝕓𝕖𝕚 𝕪𝕒 𝕤𝕦𝕜𝕒𝕣𝕚 𝕟𝕒 𝕞𝕒𝕗𝕦𝕥𝕒?


𝕄𝕒𝕥𝕙𝕒𝕝𝕒𝕟𝕚 𝕨𝕒𝕜𝕚𝕞𝕖𝕘𝕒 𝕧𝕚𝕓𝕚𝕝𝕚𝕠𝕟𝕚 𝕧𝕚𝕨𝕚𝕝𝕚, 𝕙𝕒𝕨𝕒𝕨𝕖𝕫𝕚 𝕜𝕦𝕟𝕦𝕟𝕦𝕒 𝕓𝕒𝕣𝕒𝕜𝕠𝕒 𝕫𝕖𝕟𝕪𝕖 𝕧𝕚𝕨𝕒𝕟𝕘𝕠 𝕟𝕒 𝕜𝕦𝕨𝕒𝕘𝕒𝕨𝕚𝕒 𝕨𝕒𝕟𝕒𝕟𝕔𝕙𝕚 𝕨𝕒𝕜𝕖?
 
Hizi barakoa kazi yake ni nini hasa. Naona watu wamejifungia (lockdown) huku wamevaa barakoa. Kwa nini wasizivae watoke kwenda kuchapa kazi badala yake wanafunga viwanda na kuacha uchumi uteremke/uporomoke! Naomba kuelimishwa.
 
Back
Top Bottom