Chaijaba na mishavu ni nani? Uzi mzuri lakini hapo kuna ukakasi wa maneno
Ndio hapo kuwatofautisha hua nashindwa mmoja anatumbo kama gunia la choroko na mwingine anaongea kama anatema mate chini hua sielewi yupi ni yupi.Kufungia magazeti na radio zinamsifu Mbowe. Siku Mbowe akijiunga CCM anapoteza kibarua chake.
FIFA na serekali........Hapo swali ni.
Je Yanga na Serikali nani mkubwa?
Tanzania kila taasisi ni Tawi la serikali. Hakuna sehemu yeyote ina uwezo wa kupinga maamuzi ya serikali.Pamoja na huu uhuni uliofanywa na viongozi wa serikali lakini aliyefanya kosa kubwa kuliko wote ni Viongozi wa TFF.
TFF walikuwa na uwezo wa kukataa katakata kuairisha au kusogeza mbele muda wa mechi kwa maslahi ya mchezo wa soka.
Kwa kuwa kikao cha mwisho cha mechi (Pre match meeting) kilishafanyika hakukua na namna ya mechi hiyo kusogezwa.
TFF imetuangusha kwa kusikiliza ushauri wa ovyo kutoka kwa watu wasiojua mpira