Waziri Bashungwa ushauri wako kwa Wakandarasi hauna mashiko

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010

Huyu mh. Waziri kijana, mh Bashungwa waziri wa viwanda na biashara naona katoa mpya.

Ati mkandarasi na wazabuni wanatakiwa wakope benki, husussn CRDB , ili watekeleze miradi ya serikali.

Huu ni msimamo hasi katika utekekezsji miradi.
Contractor siyo financier wa miradi ya serikali.
Haiingii akilini ukope , ufanye kazi alafu uishie kutolipwa, kitu ambacho kwa sasa ni kawaida.

Makandarasi wengi walio fanya kazi za serikali wameishia kufilisiwa na benki kutokana na kutolipwa na serikali kwa wakati au kutolipwa kabisa.

Hivyo mh. Bashungwa inaelekea hajui uhalisia wa sekta hii ya ujenzi.
 
Waziri anawapigia promo "ya bure" mabenki?

Conflict of interest?
 
If thats the calibre of thinking ya mawaziri wetu, its safe to assume we have a problem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…