Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Na huko sasa kwenye kuzima, ndiyo tutajua ulikoanzia maana tutakutana na watu wenye mwitikio wa ushirikiano siyo kama ndugu yetu yule wa kuvuruga barabara[emoji28]Mradi kumbuka tu, moto unaokwenda kuuzima coco beach hauanzii coco beach.
Tayari uku Gentamycine kaliwa dem wake kawe1. Tangaza haraka Kuzuia vile Vijiwe vyote vya Kukodisha Mapira / Matairi ya Kuogelea
2. Kisha amrjsha wanaotaka Kufanya hiyo Biashara Kwanza wajisajili Kwenu (Serikalini) na wekeni Ada / Tozo Kubwa ili kama kuna Watakaojitokeza basi wawe ni Watu Serious na siyo hawa Wahuni walioko
3. Kwa kila atakayejitokeza mlazimisheni awape Picha zake na mjua Makazi yake na taratibu zingine za Kiusalama dhidi yao zifanyike kama njia ya Kuwadhibjti.
4. Kuwe na Chama chao Beach Boys ambacho Kitatambulika nanyi Mamlaka na walazimishenj Wanachama wao (nikimaanisha Vijana wao Wanaofundisha Watu Kuogelea Baharini) wawe ni Watu very Professional na Ethical pia
5. Serikali (Mamlaka) iweke Matangazo katika Beach zote (tena yawe Makubwa) kuwa Mabinti / Wanawake ambao watafanyiwa Ukatili huo wapige Simu upesi kwa Mamlaka zenu ili Wahusika wakamatwe.
6. Himizeni kwa Beach Goers Wote hasa Wanawake / Mabinti kuwa kama wanataka Kufundishwa Kuogelea na Beach Boys basi wawachukue wale ambao ni qualified na kutoka sehemu husika.
7. Beach Boys wote watakaowepo iwe ni AMRI lazima wawe na Vitambulisho na Uniform ili irahisishe hata Kujulikana mapema wakifanya huu Uhuni wao.
8. Katika Beach zote wekeni Eneo Maalum (ndani ya Maji) la Watu Kufundishwa Kuogelea kwani moja ya Mbinu Kubwa itumikayo na hawa Wahuni (Beach Boys) ni kwenda na Wahusika katika Directions ambazo hakuna Watu Wengi na kwenye Kina Kirefu kisha wanafanya huo Uhuni wao.
9. Mkazo uwekwe zaidi kwa Watu Kujifunza Kuogelea katka Vituo Maalum au Shule za Uogeleaji (hasa Swimming Pools) ili basi wakiwa wanaenda Baharini wawe ni Wajuzi na siyo Watafuta kujua Kuogelea ambako hukutana na hawa Wahun
10. Tungeni Adhabu Kali na isiyo na Huruma dhidi yao ili Kulimaliza hili tatizo na kuleta Nidhamu katika hayo Maeneo husika (Beaches)
11. Ili Kuwakamata tumieni huu Mtego wa kuwatafuta Mabinti (Wanawake) Watatu tu ambao wanajua kweli Kuogelea au mkiweza Wachukueni wa pale Navy Kigamboni kisha Wapandikizeni katika kila Beach.
Wakiwa huko Wahimizeni wajifanye hawajui kabisa Kuogelea kisha wavalie Nguo za Kutamanisha na wawe Wanajibebjsha kwa hao Beach Boys.
Wakati mnapanga hili pia mnawapanga Watu (huku nchi Kavu) wakiwa na Camera za Ujasusi wanawachukua ili kuwa na Ushahidi very Vivid ambao hawataweza Kuruka.
Pia hakikisheni mnawatafuta Wavivu na Mitumbwi yao ili wakati mnazifanya hizi Oparesheni nao Wawe wanajifanya kama vile wako Baharini wanaendelea na Shughuli zao za Uvuvi.
Kisha hawa Mabinti / Wanawake ambao mtawapanga Wajirahisi kwa Beach Boys (ambao napendekeza lazima Wawe ni Wajuzi wa Kuogelea hasa) mtawaambia wakishaingia tu kwenye Maji na kupelekwa Maji Marefu na kuanza Kuombwa Ngono au kutaka Kubakwa upesi sana watoe Ishara kwa wale Wavivu mtakaowapanga watakaokuwa Eneo Jirani na kwa Askari wengine ambao mtakuwa mmewapanga huku nchi Kavu.
Mkishawakamata hawa Wachache watataja Mtandao wao Wote na Kutajana (huku mkiruhusu na Sisi Raia tuwatje Adabu kidogo kwa Vipigo vya kishalubela) pale pale Baharini ili kutoa Signal kwa Wenzao wengine kuwa sasa Serikali kwa Kushirikiana na Raia Wema (akina GENTAMYCINE) mmeamua / tumeamua Kuwadhibjti.
Na baada ya hapo tu mnaondoka nao kwenda Polisi ili kuanza taratibu zingine za Kisheria ila naomba Adhabu ya Viboko ama 6 au 12 isikosekane na Kifungo kirefu
12. Na katika Vijiwe vyao vyote hao Beach Boys huko Baharini baada ya Kuwasajili Kisheria kama nilivyoshauri hapo mwanzoni pia himizeni / lazimisheni kila Kijiwe kiwe na Utambulisho wa Namba na Jina Kubwa lililoandikwa
13. Ikiwapendeza himizeni / lazimisheni kila Binti / Mwanamke aendae Kuogelea Baharini aende na Pila / Tairi lake kutoka Kwao / Kwake kwani Wengi Wao wakati Mwingine hujikuta wanajngia Majaribuni hadi Kulalwa kwa Kukosa tu Vifaa hivi.
14. Tangazeni kabisa Binti / Mwanamke ambaye kwa Upumbavu na Uwoga wake bila kusahau Tamaa zake za Mwili akikubaliana na huu Uhuni wa hawa Wahuni Beach Boys na likampata la Kumpata asije Kulaumu Mtu au Serikali
15. Mwisho tengezeni Vipindi Maalum katika Redio na Television vya Kutoa Elimu na Kuonya juu ya Ukatii huu mkubwa huku mkihimiza kila Beach Goer (Mpenda kwenda Kutembea Baharini) awe ni Mlinzi wa Mwenzake pasipo kujali ni Ndugu yako au si Ndugu yako
Ni haya tu Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D nakuomba yafanyie Kazi yote na GENTAMYCINE nakuhakikishia hapa hapa JamiiForums kuwa Tatizo hili utalimaliza na Kuokoa wengi.
Nimekuheshimu sana kwakuwa navutiwa na Utendaji wako mzuri wa Ushirikishaji wa Wadau na nakuahidi kukupa Ushirikiano zaidi kwa Mambo / Masuala mengine ya Kijamii ukihitaji kwani 97% ya Maisha yangu ya kila Siku ni kuwa na Jamii na kuwa na Uwezo mkubwa wa Kuchunguza Jambo, Kulifuatilia, Kulijua, Kulirekodi katika Ubongo wangu, Kulikabili Kifikra na Kimatendo na kutoa Suluhisho la Dharula, la Kati na la Kudumu.
Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D tafadhali kama utakuwa na Zawadi yoyote ile Kwangu GENTAMYCINE (itakayokupendeza) kwa hiki nilichokuandikia hapa basi utakitangaza hapa hapa JamiiForums kisha utaipeleka katika Ofisi za JamiiForums Kawe Avocado na utampa JamiiForums Founder Mtani wangu wa Kihaya na Kaka Maxence Melo na yeye atajua wapi atanipata na Kuiwasilisha Kwangu kwa Niaba yako.
Na nikutoe Hofu Dada (Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D) hata kama hutonipa Zawadi yoyote ile bado nakuhakikishia nitaendelea kukupa Ushirikiano wangu mkubwa bila Kinyongo na Usununu.
Kila la Kheri Mheshimiwa
Tupo pamoja.
Akhsante.
Wako GENTAMYCINE Nahodha wa Kudumu wa wana JamiiForums wote duniani.
Taarifa na "plan" ni vitu tofauti.Plan zipo ndugu, soma tu taarifa zetu. Uwe na plan ya kusoma na kusikiliza matoleo ya taarifa zetu mbalimbali kama wengine. Itasaidia Sana. Karibu.
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Hapo umesema ukweli wako, kuwa unakwenda kuzima moto ili upate kuligeuza tatizo kuwa fursa.Na huko sasa kwenye kuzima, ndiyo tutajua ulikoanzia maana tutakutana na watu wenye mwitikio wa ushirikiano siyo kama ndugu yetu yule wa kuvuruga barabara[emoji28]
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Yaani badala ya maneno yote haya, subiri wadau wakiitwa kutoa maoni jinsi ya kumaliza tatizo hili, na ww uje. Ila moto ukilipuka sisi hatutaacha kuuzima. Hilo uvumilie tu. Ndiyo maana na fire extinguisher huwa zipo kwenye nyumba hata zile nyumba za kisasa kabisa za ulimwengu wa kwanza, siyo Ili kwamba moto lazima uwake. Na sisi tupo na mifumo aina zote tayari tayari, nadhani upo hapo.Hapo umesema ukweli wako, kuwa unakwenda kuzima moto kwenda ili upate kuligeuza tatizo kuwa fursa.
Hiyo kama unatembea kwenye "Resilience" ya mama Samia, sasa uje na Reforms.
Dah, kazi tunayo. Kwa kuzima moto tu hujambo na nnakupa maua yako.
Wewe dua zako hazivuki hata dari. Zingekuwa zinavuka dari, saa hizi Simba mabingwa wa Afrika.Asante sana Mkuu na Ashukuriwe Mwenyezi Mungu kwa Karama na Baraka zake Kwangu, Kwako na kwa Wengine.
Hiyo iliyopitwa na wakati ndiyo imepewa extension Hadi end of Novemba 2023. Sasa kama tarehe imeisha na sisi tukaipa extension hiyo mipango yake halafu ww hutaki maelezo, sina msaada .. kwa kuwa hata hivyo ni wewe tu ambaye huelewi nayo siyo mbaya Sana.... Ila mm siachi kumwelimisha mtu kwa Ninalojua liko hivi yy anasema vile, siachi. Ndiyo fursa ya wengine kujua yalivyo. [emoji3]Taarifa na "plan" ni vitu tofauti.
Taarifa ndiyo huko mnakwakwama mawaziri wa kisiasa.
Usidanganye, plan uliileta hapa imepitwa na wakati, sasa unasema ipo.
Hivi mnazo sera na taratibu zinazoendana na hali ya jamii ya leo hapo wizarani kwenu au ndiyo toka zilizowachwa na Zahra Nuru enzi za Nyerere?
Kwani hujui kama tuna toleo jipya la sera ya jinsia na maendeleo ya wanawake? Halafu hujui kama tuko hatua za mwisho za sera ya Wazee... Tatizo lako moja tu, hufuatilii taarifa za wizara yako...[emoji2960]Taarifa na "plan" ni vitu tofauti.
"Taarifa" ndiko huko mnakwama mawaziri wa kisiasa.
Usijidanganye, plan uliileta hapa JF imepitwa na wakati, sasa unasema ipo.
Hivi mnazo sera na taratibu zinazoendana na hali ya jamii ya leo hapo wizarani kwenu au ndiyo toka zilizowachwa na Zahra Nuru enzi za Nyerere?
Ipo kwa porojo? Maoni sisubiri, nnyatowa kila siku, mwenye kuyaona anayaona asiyeyaona siwezi kumlazimisha ayaone. Ni upeo tu wa mtu.Yaani badala ya maneno yote haya, subiri wadau wakiitwa kutoa maoni jinsi ya kumaliza tatizo hili, na ww uje. Ila moto ukilipuka sisi hatutaacha kuuzima. Hilo uvumilie tu. Ndiyo maana na fire extinguisher huwa zipo kwenye nyumba hata zile nyumba za kisasa kabisa za ulimwengu wa kwanza, siyo Ili kwamba moto lazima uwake. Na sisi tupo na mifumo aina zote tayari tayari, nadhani upo hapo.
Sasa mfumo mmoja ukifanya kazi vzr Hadi wewe ukatoa pongezi, hiyo nayo ni hatua. 😀. Usidhani mingine haifanyi kazi. Ipo..... Ni huku na huku.
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Hiyo iliyopitwa na wakati ndiyo imepewa extension Hadi end of Novemba 2023. Sasa kama tarehe imeisha na sisi tukaipa extension hiyo mipango yake halafu ww hutaki maelezo, sina msaada .. kwa kuwa hata hivyo ni wewe tu ambaye huelewi nayo siyo mbaya Sana.... Ila mm siachi kumwelimisha mtu kwa Ninalojua liko hivi yy anasema vile, siachi. Ndiyo fursa ya wengine kujua yalivyo. [emoji3]
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Hata kule tunakolaza wagonjwa ,tumeweka na ufuatiliaji, huwa tukiona joto limepanda Sana, huwa tunaenda kulizima kisha tunaendelea na utaratibu wa kawaida. Hivyo, hata huku tumeweka mazingira hayo hayo. Joto la jamii likizidi, tunalizima tu. Nduhü tabu kabisa[emoji847]Ipo kwa porojo? Maoni sisubiri, nnyatowa kila siku, mwenye kuyaona anayaona asiyeyaona siwezi kumlazimisha ayaone. Ni upeo tu wa mtu.
Bibie, wewe nimekwambia kwa kuzima moto nakusifu sana. Lakini ubunifu ni nil. Kumbuka hilo. Reform.
Siyo hiyo sasa, mpya kabisa. Hiyo nimeshaelimisha jamii wameelewa kisa mkasa. Ww huelewi, sasa nikufanyaje... Sina la kukufanya mm... [emoji847]Kama ni ile uliyonambia nikaipakuwa, hakuna hata kimoja chenye kuendana na matizo ya jamii ya leo. Nadhani hata kuisoma hujaisoma.
Kama sera ni ile basi endelea tu na kuzima moto. Sitegemei zaidi ya hilo kwa yale.
Kila unapowaka moto utajulishwa.
Yote ni mitazamo...sikubaliani na wewe.
..fukwe zote zinatakiwa ziwe safi, na za kistaarabu.
..tujenge utamaduni wa kupenda mambo mazuri-zuri.
Waziri wetu MCHAPAKAZI msikikizaji kero za wananchi na mtatuzi wa HALAKA shida za DHALURAHata kule tunakolaza wagonjwa ,tumeweka na ufuatiliaji, huwa tukiona joto limepanda Sana, huwa tunaenda kulizima kisha tunaendelea na utaratibu wa kawaida. Hivyo, hata huku tumeweka mazingira hayo hayo. Joto la jamii likizidi, tunalizima tu. Nduhü tabu kabisa[emoji847]
Kwa kuwa umeamua kutoa alama hizo, sasa mimi nikufanyaje... Toa tu .... Na mm zangu nimeshakutolea ... Nipe nikupe....
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Mh waziri tafadhali acha kubishana na huyo mtu anataka akutoe kwenye reli ili apate cha kusema akuchafueSiyo hiyo sasa, mpya kabisa. Hiyo nimeshaelimisha jamii wameelewa kisa mkasa. Ww huelewi, sasa nikufanyaje... Sina la kukufanya mm... [emoji847]
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Jifunze kuandika vizuri kiswahili.Waziri wetu MCHAPAKAZI msikikizaji kero za wananchi na mtatuzi wa HALAKA shida za DHALURA
ninakusihi usibishane na huyu 7bu anachotaka ukasirike
Hujibu maneno mabaya ili apate kuona unaharibu IMAGE yako uliyoijenga kwa uzarendo na uchapakazi
Sisi tumeiona kazi yako na tunaKuuunga mkono JUHUDI zako kwa kukuletea taarifa mbalimbali
na pamoja kuchukua hatua stahiki
Hvyo ni vema kumkwepa kwa BAADHI ya comment
7bu huyu Bi dada ukimshinda kwa HOJA
ataanza kukufundisha somo la kiswahili kwa kuchambua typing error
Na kwakuwa kwako amefanya hivyo basi imedhiirisha ushamshindwa kwa HOJA
Hvyo muignore tu hana JIPYA
Ahsante Sana, na mm katu huyu sitamjibu vibaya. Nitamjibu kama Mwalimu. Kwanza hapa ana brand majibu yangu bure bila gharama 😀, namcheki namjibu huku natabasamu. [emoji3][emoji3][emoji3]Waziri wetu MCHAPAKAZI msikikizaji kero za wananchi na mtatuzi wa HALAKA shida za DHALURA
ninakusihi usibishane na huyu 7bu anachotaka ukasirike
Hujibu maneno mabaya ili apate kuona unaharibu IMAGE yako uliyoijenga kwa uzarendo na uchapakazi
Sisi tumeiona kazi yako na tunaKuuunga mkono JUHUDI zako kwa kukuletea taarifa mbalimbali
na pamoja kuchukua hatua stahiki
Hvyo ni vema kumkwepa kwa BAADHI ya comment
7bu huyu Bi dada ukimshinda kwa HOJA
ataanza kukufundisha somo la kiswahili kwa kuchambua typing error
Na kwakuwa kwako amefanya hivyo basi imedhiirisha ushamshindwa kwa HOJA
Hvyo muignore tu hana JIPYA
Wewe tu ila WAZIRI wetu hana nomaJifunze kuandika vizuri kiswahili.
Utakuja kosa fursa hivihivi kwa uvivu wa kuandika.
Kwani ukiandika 'sababu' ikakamilika unapungukiwa nini.
7bu ndio uandikaji gani huo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Madam nakuomba ukae kimya huyo ana ajenda yake binafsi.Yaani turaruka sarakasi zote za long term, short term, immediate na emergency plan zote[emoji28] tuko vizuri pande zote hadi ukasirike kabisa. Vipaji vyote tunavyo sisi.
Yaani hata kiangazi na masika Zina majira ya kudumu, ila dharura hazijawahi kukosekana...
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app