DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Shida unakuta kuna wale wenye akili ndogo badala ya watoe hoja wanaanza kuleta vihoja.

Hapo lazima kiongozi aone mnampotezea muda
Naona umeamua sasa Kujisems Mwenyewe. Unaacha Kujadili Mada husika unahangaika kunipiga Mimi Vijembe kama Mtoto wa Kike vile wakati Wewe ni Mwanaume. au labda tayari Hospitali ya Mlongazila wameshakufanyia Oparesheni ya Kubadili Jinsia yako na sasa Wewe ni Jinsia ya akina Dkt. Gwajima D?
 
Mbona kaongea vizuri ila humu naona maoni ya "POPOMA" ni kumaanisha hiyo POPOMA ndo pongezi au?
 
Njia rahisi Ni nyie Kinadada kukataa maboya/mipiraja kupenda kutoa K Kwa mabichiboy
 
Hiyo 67 ni ya Passport na NIDA ila ukiniambia anaitafuta 89 nitakubaliana nawe.
 
Kudos! Ila mbona pia umeanika na siri za vita hadharani?
 
Ipo kwa porojo? Maoni sisubiri, nnyatowa kila siku, mwenye kuyaona anayaona asiyeyaona siwezi kumlazimisha ayaone. Ni upeo tu wa mtu.

Bibie, wewe nimekwambia kwa kuzima moto nakusifu sana. Lakini ubunifu ni nil. Kumbuka hilo. Reform.
 
Mkuu unataka teuzi ya kukata majani ya mheshimiwa katika nyumba yake? Au unataka nini mbona Una mpamba Sana ?

Juzi nilisema ushaaanza nawewe kusheza sebene kama Mama yenu Aika

#binaadamustuka#
Natania
 
Hongera Bwana popoma kwa kuwa mshauri wa mawaziri😊
 
Kwa waziri huyo sahau kama kuna jipya utaliona kwake.

Atatafuta vyombo vya habari ataongea, kwisha, ndiyo kamaliza kazi hapo. Hana ubunifu, anatakiwa yeye mwenyewe a Reform kwanza.

Faiza Kama humkubali huyu Mama Dr .Gwajima unashida wewe?Kwangu huyu mama ni firt responder kwa mambo mengi sanaa.
 
Faiza Kama humkubali huyu Mama Dr .Gwajima unashida wewe?Kwangu huyu mama ni firt responder kwa mambo mengi sanaa.
Kwa kuzima moto tu nampa maua yake.

Tatizo porojo za kisiasa nyingi.

Unajuwa hawa watu wa system wakishapata hizi kazi wanaona ni kama wamewekwa pale wapeleke taarifa tu kama mazowea ya watu wa system. Wanaishia kutowa mpaka taarifa za uongo.


Kwa ufupi siyo mbunifu.
 
Hongera Bwana popoma kwa kuwa mshauri wa mawaziri😊
Huwa sipokei Hongera za Wanafiki na Waswahili. Siku zote Unahubiri tu Kunichukia hapa JamiiForums halafu leo unajifanya Kunipongeza Kinafiki.

Hamnipendi halafu bado 24/7 mnanifuatilia na Kusoma threads zangu. Kumbe nikiwa Nawadharau huwa nakuwa sahihi 100%.

Popoma utakuwa ni Wewe, ila Mimi naitwa GENTAMYCINE sawa?
 
Mkuu unataka teuzi ya kukata majani ya mheshimiwa katika nyumba yake? Au unataka nini mbona Una mpamba Sana ?

Juzi nilisema ushaaanza nawewe kusheza sebene kama Mama yenu Aika

#binaadamustuka#
Natania
Yaani unanikashifu halafu kwa Kuzuga mwishoni unasema Unatania. Hivi unadhani Mimi ni Mpumbavu kama Wewe?
 
Kudos! Ila mbona pia umeanika na siri za vita hadharani?
Nimeanika Siri za Vita hadharani ili hata Maadui wajue kuwa Wanawindwa na waanze Kujipanga katika ama Kuyakimbia hayo Maeneo au Kubadilika mazima.
 
Akili kubwa GENTA
 
1. Tangaza haraka Kuzuia vile Vijiwe vyote vya Kukodisha Mapira / Matairi ya Kuogelea

.......

Akhsante.

Wako GENTAMYCINE Nahodha wa Kudumu wa wana JamiiForums wote duniani.
Haya siyo maoni bali ni amri kwa Waziri....... tangaza haraka!!!!!!!
 
Wanawake na wasichana wanasemaje kwani?

Kwanza kabisa ujue wanapenda kutiwa na beach boys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…