DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wanawake na wasichana wanasemaje kwani?

Kwanza kabisa ujue wanapenda kutiwa na beach boys
GENTAMYCINE napenda mno Utani ili Kuchangamshana hapa JamiiForums ila kuna Mada zingine kama Mchangiaji ukiwa tu na Akili timamu ukiziona utajua kuwa zinahitaji Seriousness katika Kuzichangia na hata Kuzijadili.

Hivi mfano ungemkuta Dada yako ndiyo ANAMANULIWA hivyo Majini na KUBANDULIWA kama inavyoonekana Pichani ( katika Clip ) ungekuja Kuandika hiki Ulichokiandika hapa?
 
Ila chuo cha SAUTI kinatoa wahitimu WABOVU sana
 
Braza G acha watu wafaidi maisha ya beach wapate raha ya majini
 
Amina Inshallah broo
 
Moja kati ya andiko bora linaloonekana kutatua tatizo na lenye kueleweka hata kwa watu wenye akili za kawaida ambao huchagua kubishana kwenye kila kitu.
Akili za kawaida zikoje mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaongoza wizara kama upo hospitali?

Yaani unawaona Watanzania wote ni wagonjwa?

"If such are the priest, God bless the congregation". - Deedat.
 

kama hilo likishindikana basi beach boys wote wavalishwe chupi za vyuma,na funguo na funguo la kufuli apewe incharge wa hapo beach,,pindi anapomrudisha mteja kutoka kuogelea ndo kufuli lifunguliwe!!
 


Wewe ni mshika bendera ya Wapumbavu wote.


Kumbuka; Upumbavu sio tusi, ni maumbile Kama urefu na ufupi.
 
Nishakwambia acha kumdaharau mhe waziri Dorothy ,si kosa lake kuwa kipanga🙏🙏
Kashughulike na ummy mwislam Mwenzio
Dorothy humuwezi,yule kipanga hajaingia kwa vy.upi🙏🙏

Unaongoza wizara kama upo hospitali?

Yaani unawaona Watanzania wote ni wagonjwa?

"If such are the priest, God bless the congregation". - Deedat.
Ac
 
Kwel jeshi letu linakazi kubwa kukamata wanaovaa Sare zao .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…