Naona umekosa hoja unaanza viroja.Nishakwambia acha kumdaharau mhe waziri Dorothy ,si kosa lake kuwa kipanga🙏🙏
Kashughulike na ummy mwislam Mwenzio
Dorothy humuwezi,yule kipanga hajaingia kwa vy.upi🙏🙏
Ac
HapanaNaona umekosa hoja unaanza viroja.
Ndiyo umejua hii leo?The game changer [emoji23]
Kumbe unakuwaga na akili nyingi hivi [emoji1787]
Wazuri lifanyie kazi upesi dada zetu wanaliwa kisela sana[emoji3064][emoji3064][emoji847] Ulisema uko bize sana lakini nashukuru umepata muda wa kurejea na maoni yako. Nimeyapokea, nasoma vizuri nione la kufanya kwa kuwa mambo mengi yanauhusiano wa kitimu, yaani "sectoral". Ngoja niratibu, Ili mradi linaenda kwenye jamii, basi wizara yetu ngoja ione jinsi ya kufanyia kazi na utasikia mrejesho. Ubarikiwe Sana.
Nilivyoona comment yake tu,nikajua kweli kumbe wanawake hawapendani!!Jiheshimu wewe bibi. Kaunde serikali yako uifanyie reform. Waziri Gwajima ni mchapakazi na ni mfano wa kuigwa. Narudia tena JIHESHIMU BIBI. ACHA KUOTA MAPEMBE
Huyo anawachukia sana wakristo. FaizaFoxy ni kirusi kwenye amani ya taifa. Ni wale watu ambao wangekuwa na uwezo wangetufutilia mbali sisi wakristo. Roho yake ni ya kigaidi. Bahati nzuri Mungu ni mwema hawezi fanya lolote zaidi ya kubaki na chuki zake tu.Nilivyoona comment yake tu,nikajua kweli kumbe wanawake hawapendani!!
🤣🤣🤣🤣Factory settingsUmeanza vizzzuuuuurri, alaf mwishoni sasa ukarudi to factory settings kwa kujipamba..
Haya bana popoma. Amekuskia
Bibi siku hizi mods wakiona unapumua tu wanakanyaga kichwa. Juzi tu ulikuwa lupango, umekaa uraiani siku mbili leo washakurudisha tena.Naona umekosa hoja unaanza viroja.
Hii connection inapatikana wapi?wakitaka hako ka clip video ninako nitakawakilisha kutumia kutumia bundle langu kabisa.
haiwezekani wawe wanakula mademu zetu ki ulaini hivo kwa kutumia kigezo cha kuogelea tu kwanza watatuambukiza maginjwa ya ngono ikiwemo ngoma mbwa hao
nenda instagram kwenye account ya Juma Lokole utaikutaHii connection inapatikana wapi?
Mbona nimeisaka sanaa na siipati?
#YNWA
😂😂😂😂😂Duh ni hatwari na nusu ase! Mikakati yoote hii kumbe ni kujipromo na kuomba kazawadi?!1. Tangaza haraka Kuzuia vile Vijiwe vyote vya Kukodisha Mapira / Matairi ya Kuogelea
2. Kisha amrisha wanaotaka Kufanya hiyo Biashara Kwanza wajisajili Kwenu (Serikalini) na wekeni Ada / Tozo Kubwa ili kama kuna Watakaojitokeza basi wawe ni Watu Serious na siyo hawa Wahuni walioko
3. Kwa kila atakayejitokeza mlazimisheni awape Picha zake na mjua Makazi yake na taratibu zingine za Kiusalama dhidi yao zifanyike kama njia ya Kuwadhibjti.
4. Kuwe na Chama chao Beach Boys ambacho Kitatambulika nanyi Mamlaka na walazimisheni Wanachama wao (nikimaanisha Vijana wao Wanaofundisha Watu Kuogelea Baharini) wawe ni Watu very Professional na Ethical pia
5. Serikali (Mamlaka) iweke Matangazo katika Beach zote (tena yawe Makubwa) kuwa Mabinti / Wanawake ambao watafanyiwa Ukatili huo wapige Simu upesi kwa Mamlaka zenu ili Wahusika wakamatwe.
6. Himizeni kwa Beach Goers Wote hasa Wanawake / Mabinti kuwa kama wanataka Kufundishwa Kuogelea na Beach Boys basi wawachukue wale ambao ni qualified na kutoka sehemu husika.
7. Beach Boys wote watakaowepo iwe ni AMRI lazima wawe na Vitambulisho na Uniform ili irahisishe hata Kujulikana mapema wakifanya huu Uhuni wao.
8. Katika Beach zote wekeni Eneo Maalum (ndani ya Maji) la Watu Kufundishwa Kuogelea kwani moja ya Mbinu Kubwa itumikayo na hawa Wahuni (Beach Boys) ni kwenda na Wahusika katika Directions ambazo hakuna Watu Wengi na kwenye Kina Kirefu kisha wanafanya huo Uhuni wao.
9. Mkazo uwekwe zaidi kwa Watu Kujifunza Kuogelea katka Vituo Maalum au Shule za Uogeleaji (hasa Swimming Pools) ili basi wakiwa wanaenda Baharini wawe ni Wajuzi na siyo Watafuta kujua Kuogelea ambako hukutana na hawa Wahun
10. Tungeni Adhabu Kali na isiyo na Huruma dhidi yao ili Kulimaliza hili tatizo na kuleta Nidhamu katika hayo Maeneo husika (Beaches)
11. Ili Kuwakamata tumieni huu Mtego wa kuwatafuta Mabinti (Wanawake) Watatu tu ambao wanajua kweli Kuogelea au mkiweza Wachukueni wa pale Navy Kigamboni kisha Wapandikizeni katika kila Beach.
Wakiwa huko Wahimizeni wajifanye hawajui kabisa Kuogelea kisha wavalie Nguo za Kutamanisha na wawe Wanajibebjsha kwa hao Beach Boys.
Wakati mnapanga hili pia mnawapanga Watu (huku nchi Kavu) wakiwa na Camera za Ujasusi wanawachukua ili kuwa na Ushahidi very Vivid ambao hawataweza Kuruka.
Pia hakikisheni mnawatafuta Wavivu na Mitumbwi yao ili wakati mnazifanya hizi Oparesheni nao Wawe wanajifanya kama vile wako Baharini wanaendelea na Shughuli zao za Uvuvi.
Kisha hawa Mabinti / Wanawake ambao mtawapanga Wajirahisi kwa Beach Boys (ambao napendekeza lazima Wawe ni Wajuzi wa Kuogelea hasa) mtawaambia wakishaingia tu kwenye Maji na kupelekwa Maji Marefu na kuanza Kuombwa Ngono au kutaka Kubakwa upesi sana watoe Ishara kwa wale Wavivu mtakaowapanga watakaokuwa Eneo Jirani na kwa Askari wengine ambao mtakuwa mmewapanga huku nchi Kavu.
Mkishawakamata hawa Wachache watataja Mtandao wao Wote na Kutajana (huku mkiruhusu na Sisi Raia tuwatje Adabu kidogo kwa Vipigo vya kishalubela) pale pale Baharini ili kutoa Signal kwa Wenzao wengine kuwa sasa Serikali kwa Kushirikiana na Raia Wema (akina GENTAMYCINE) mmeamua / tumeamua Kuwadhibjti.
Na baada ya hapo tu mnaondoka nao kwenda Polisi ili kuanza taratibu zingine za Kisheria ila naomba Adhabu ya Viboko ama 6 au 12 isikosekane na Kifungo kirefu
12. Na katika Vijiwe vyao vyote hao Beach Boys huko Baharini baada ya Kuwasajili Kisheria kama nilivyoshauri hapo mwanzoni pia himizeni / lazimisheni kila Kijiwe kiwe na Utambulisho wa Namba na Jina Kubwa lililoandikwa
13. Ikiwapendeza himizeni / lazimisheni kila Binti / Mwanamke aendae Kuogelea Baharini aende na Pila / Tairi lake kutoka Kwao / Kwake kwani Wengi Wao wakati Mwingine hujikuta wanajngia Majaribuni hadi Kulalwa kwa Kukosa tu Vifaa hivi.
14. Tangazeni kabisa Binti / Mwanamke ambaye kwa Upumbavu na Uwoga wake bila kusahau Tamaa zake za Mwili akikubaliana na huu Uhuni wa hawa Wahuni Beach Boys na likampata la Kumpata asije Kulaumu Mtu au Serikali
15. Mwisho tengezeni Vipindi Maalum katika Redio na Television vya Kutoa Elimu na Kuonya juu ya Ukatii huu mkubwa huku mkihimiza kila Beach Goer (Mpenda kwenda Kutembea Baharini) awe ni Mlinzi wa Mwenzake pasipo kujali ni Ndugu yako au si Ndugu yako
Ni haya tu Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D nakuomba yafanyie Kazi yote na GENTAMYCINE nakuhakikishia hapa hapa JamiiForums kuwa Tatizo hili utalimaliza na Kuokoa wengi.
Nimekuheshimu sana kwakuwa navutiwa na Utendaji wako mzuri wa Ushirikishaji wa Wadau na nakuahidi kukupa Ushirikiano zaidi kwa Mambo / Masuala mengine ya Kijamii ukihitaji kwani 97% ya Maisha yangu ya kila Siku ni kuwa na Jamii na kuwa na Uwezo mkubwa wa Kuchunguza Jambo, Kulifuatilia, Kulijua, Kulirekodi katika Ubongo wangu, Kulikabili Kifikra na Kimatendo na kutoa Suluhisho la Dharula, la Kati na la Kudumu.
Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D tafadhali kama utakuwa na Zawadi yoyote ile Kwangu GENTAMYCINE (itakayokupendeza) kwa hiki nilichokuandikia hapa basi utakitangaza hapa hapa JamiiForums kisha utaipeleka katika Ofisi za JamiiForums Kawe Avocado na utampa JamiiForums Founder Mtani wangu wa Kihaya na Kaka Maxence Melo na yeye atajua wapi atanipata na Kuiwasilisha Kwangu kwa Niaba yako.
Na nikutoe Hofu Dada (Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D) hata kama hutonipa Zawadi yoyote ile bado nakuhakikishia nitaendelea kukupa Ushirikiano wangu mkubwa bila Kinyongo na Usununu.
Kila la Kheri Mheshimiwa
Tupo pamoja.
Akhsante.
Wako GENTAMYCINE Nahodha wa Kudumu wa wana JamiiForums wote duniani.
Asante sana kwa Taarifa Mkuu, Nimefurahi kusikia hivyo, ni Jambo jema na namtakia kila la Kheri Waziri Dada Dkt. Gwajima DNdugu yangu maombi Yako...yamefanyiwa kazi Leo Kwa macho yangu nimemuona Dkt. Gwajima D kwenye fukwe za cocobeach msasani akiwa na wajumbe wake nilitamani nipigie picha ila nikaogopa wazee wa kazi wasije wakanisumbua 🤣🤣🤣
Katika Hilo kiukweli nimempenda bure huyu mama Dkt. Gwajima D namuombea umri mrefu Tanzania inahitaji matokeo. Kama kiongozi ameamua kuja Frontline yeye mwenyewe amini nakuambia kaka GENTAMYCINE hoja Yako ya msingi inaenda kupata ufumbuzi. Lakini naomba isije ikawa mambo ya kulipia😭😭
Ikitokea tukaanza kulipia kuingia kushangaa bahari itakuwa mbaya sana.
Mama Dkt. Gwajima D Nakupenda sana Leo umenifurahisha
Kama jiji au serikali kwa ujumla inajitambua, kungekuwa na waokoaji, wenye cheti/ leseni na sio wahuni wowote.1. Tangaza haraka Kuzuia vile Vijiwe vyote vya Kukodisha Mapira / Matairi ya Kuogelea