DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hongera sana kwa kutumia muda wako na kuweza kuja na mawazo mazuri kama haya. Hii ndiyo inaitwa mtu mmoja anakuwa na akili na anajali kuliko serikali yote!
 
Asante nawe na kuhusu hao Navy nimekuelewa na Kukubaliana nawe hivyo wanaweza hata Kuwatumia wale wa Jeshi la Polisi kwani huko pia wapo Wanawake Mangwena ( Mabingwa ) wa Uogeleaji na wataweza Kulikabili hili kwa Ngazi yao ya Kindata ( Kipolisi ) ii tuepuke kuwahusisha Navy kutokkea JWTZ kama ulivyoshauri.

Cc: Waziri Dkt. Gwajima D
 
Mimi sitalipuuza kwa nafasi yangu. Tutashirikiana na mifumo ya mamlaka husika na jamii husika kuanzia pale walipofikia kuunganisha nguvu.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Jambo ni la dharula hili nashauri wamwagwe SUMA JKT kwanza kila ufukwe walao kwa miezi kadhaa na watoe adhabu takatifu kwa atakaenaswa.
 
Hongera sana kwa mawazo haya, hili suala lilikofikia kwa hali ya sasa ni lazima hawa vijana wafanyiwe namna ya kuwakomesha, na pia kingine wanawake wafundishwe kuogelea na wanawake wenzao hii itasaidia sana kupunguza huu unyanyasaji, kwa wengine watumie fursa hii kina dada kujiajiri.
Huo unyanyasaji ni suala la ubakaji kabisa hilo maana mtu yanafanyiwa kitu bila ridhaa yake.
 
Madaktari wako waliokuwa Wanakutibia Mirembe Mental Hospitali Dodoma wanakutafuta wanasema kuna Dawa nyingine muhimu walisahau kukupa ili Uibugie usiendelee kuwa that Mental kwa wana JamiiForums. Please try to contact them for a help.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…