johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hongera kwao HAZINA ila inabidi wazidi kuwa MACHO.Waziri wa fedha Dr Mpango amewataka watumishi wote wa Hazina kuwa makini zaidi kwa sababu fedha nyingi za serikali bado zinapotea kwenye miradi inayotekelezwa kwenye halmashauri...
Nyerere aliwakata msiwape nchi wasukuma.Sasa hizo ndege tano za nini wakati hizi ambazo tunazo zinatutia hasira tu
Kudhibitiwa haimaanishi kuwa wizi umekwisha!Mbona tuliambiwa wizi umedhibitiwa serekali kwa sasa chini ya awamu hii ya tano? Au amejisahau kwenye hiyo propaganda mfumo?
Nyerere ni katiba?Nyerere aliwakata msiwape nchi wasukuma.
Kudhibitiwa haimaanishi kuwa wizi umekwisha!
Tena zile halmashauri za wapinzani ziliongoza kwa ubadhirifu!
Kwa mfano Ubungo madiwani wa Ufipa walipiga sana!Awamu ya tano ilikuwa chini ya wapinzani?
Kwa mfano Ubungo madiwani wa Ufipa walipiga sana!
Katiba ni useless kwa Msukuma, anaifanya atakavyoNyerere ni katiba?
Mkuu unatusingizia! Jitu lenu li-Rundi!Nyerere aliwakata msiwape nchi wasukuma.
Siyo PMU tu, Halmashauri/Manispaa kuna mtandao wa kupiga pesa kupitia madokezaNakubaliana na Waziri Mpango kwa asilimia 100
Serikali inapigwa kinoma
Kwenye miradi ya ujenzi vinara wa upigaji ni PMU na Works department