Waziri Dkt. Nchemba ateta na Saudi Fund Saudi Arabia

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
DKT. NCHEMBA ATETA NA SAUDI FUND SAUDI ARABIA

20 Dec, 2024

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia (Saudi Fund for Development-SFD), Bw. Sultan Al-Marshad, baada ya kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kati ya Mfuko huo na Tanzania, akiwa na Mawaziri wenzake wa kisekta, Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum , Mazungumzo hayo yalifanyika Makao Makuu ya Mfuko huo Mjini Riyadh nchini Saudi Arabia, Kando ya Jukwaa la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika nchini humo.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameushukuru Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia (Saudi Fund for Development-SFD), kwa mchango wake katika maendeleo ya Tanzania kupitia ufadhili wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta za maji, afya, nishati na ujenzi wa miundombinu ya barabara.

Dkt. Nchemba ametoa shukrani hizo alipo kutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Saudi Fund, Bw. Sultan Al-Mashard, Kando ya Mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika Mjini Riyadh nchini Saudi Arabia.

Dkt. Nchemba aliyeambatana na Mawaziri wenzake wawili katika kikao hicho, akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, alisema kuwa ushirikiano wa Saudi Arabia na Tanzania uliodumu kwa zaidi ya miaka 40 sasa, umekuwa wa mfano.

Aliitaja baadhi ya miradi iliyoleta mageuzi makubwa katika jamii ya Tanzania kuwa ni pamoja na ukarabati wa Mradi wa Maji mkoani Mara (Usd 15m), Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe (Usd 25m), na ujenzi wa Barabara za Vijijini Awamu ya Pili-Zanzibar (Usd11.4m).

Aliitaja miradi mingine kuwa ni Ukarabati na Upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja-Zanzibar (Usd 15m) na kushirikiana na wadau wengine kufadhili Mradi wa Ujenzi wa Njia ya Umeme wa msongo wa 220kV kuanzia Benako hadi Kyaka (Usd 105.4m).

Katika Mazungumzo hayo, Dkt. Nchemba aligusia utekelezaji wa miradi mingine mikubwa ya kimkakati inayoendelea nchini Tanzania ukiwemo mradi wa Reli ya Kisasa SGR, ambao alisema utakapokamilika utakuwa kichocheo kikubwa cha biashara na Uchumi katika nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu.

Kwa upande wao. Waziri wa Viwanda na Biashasra, Mhe. Dkt. Selemani jafo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, walisema kuwa ushiriki wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia katika ujenzi wa miradi ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania utachochea maendeleo ya nchi.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Saudi Fund, Bw. Sultan Al-Marshad, alisema kuwa Mfuko huo uko tayari kuendelea kuisaidia Tanzania kutokana na uhusiano imara uliopo kwa faida ya wananchi wa nchi hizo mbili.

Alipongeza hatua kubwa zinazochukuliwa na Serikali katika kutekeleza miradi muhimu kwa maendeleo ya nchi akiitaja Reli ya Kisasa inayojengwa kwamba itachochea na kukuza biashara na usafirishaji wa abiria na mizigo katika eneo la mradi.

Katika kikao hicho Tanzania na Saudi Fund walikubaliana kuunda Timu ya wataalam watakaopitia, kuchambua na kuchakata miradi mbalimbali ambayo Mfuko huo utatoa fedha ili kuimarisha zaidi ushirikiano kati ya Tanzania na Saudi Arabia.
Mwisho
1735393271810.jpeg
 
Neema

1735392590335.jpeg

Jukwaa la Uwekezaji kati ya Tanzania na Saudi Arabia Lawashirikisha Wawekezaji 70 na Kupelekea kwa Makubaliano ya Ubia wa Kimkakati katika Kilimo, Nishati, Uzalishaji na Miundombinu.

Jukwaa la Uwekezaji kati ya Tanzania na Saudi Arabia lililofanyika kuanzia tarehe 17 hadi 21 Desemba 2024 mjini Riyadh, liliwakutanisha wawekezaji 70 na kufikia makubaliano ya kutafuta Tanzania na Saudi Arabia, na kuhimiza mijadala muhimu kuhusu fursa za biashara na uwekezaji baina ya nchi hizo mbili.

Kongamano hilo lililoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania ( TIC ) na Mamlaka ya Uwekezaji Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA) lilijumuisha vikao vya Biashara kwa Biashara (B2B) na Serikali kwa Serikali (G2G) .

Tukio hilo lilifikia kilele cha kuhitimisha makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati katika kilimo , nishati , viwanda na miundombinu , ikilenga kushughulikia usawa wa kibiashara na kukuza ushirikiano wa kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili.

Jukwaa hilo lilishirikisha viongozi wa ngazi za juu wa serikali ya Tanzania akiwemo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Mkumbo Alexander Kitila Mkumbo ambaye ndiye aliyefungua hafla hiyo. Prof. Mkumbo alibainisha kukosekana kwa usawa wa kibiashara kwa sasa, akibainisha kuwa wakati mauzo ya Saudi Arabia kwenda Tanzania yanafikia dola za Marekani bilioni 52.3, mauzo ya Tanzania kwenda Saudi Arabia ni dola za Marekani milioni 12.3 pekee.

Prof. Mkumbo Kitila alitoa wito wa kuongezwa kwa ushirikiano wa uwekezaji na biashara, akisisitiza uwezo wa Tanzania kiuchumi katika kilimo, nishati ya kijani, uchumi wa bluu, madini , mafuta na gesi na ubunifu wa kidijitali. Waziri wa Fedha wa Tanzania, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba, alishiriki katika kongamano hilo sambamba na mawaziri wengine, wakitetea uwekezaji wa kimkakati.

Dk. Nchemba pia alifanya mazungumzo na Sultan Al-Marshad, Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi (SFD), kutazama ushirikiano unaoendelea .

Dk. Nchemba alishukuru kwa michango ya SFD kwa Tanzania, ikiwa ni pamoja na miradi ya kuleta mageuzi kama vile Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe (Dola za Marekani milioni 25) na njia ya umeme ya Benako-Kyaka 220kV (Dola za Marekani milioni 105.4).

Mkutano huo ulipelekea kuundwa kwa timu ya pamoja ya wataalam kutathmini miradi ya siku zijazo.

Mkurugenzi Mtendaji wa SFD, Sultan Al-Marshad alisisitiza dhamira ya Mfuko huo Saudi Fund kwa Tanzania, na kupongeza hatua iliyofikiwa kwenye miradi kama vile Reli ya Kisasa (SGR) inayotarajiwa kukuza biashara na mawasiliano katika Ukanda wa Maziwa Makuu.

Uhusiano wa Tanzania na Saudi Arabia umekuwepo kwa zaidi ya miaka 40 ya mahusiano ya kidiplomasia, yenye sifa ya juhudi za pamoja za kuimarisha biashara na uwekezaji.

Mfuko wa Maendeleo wa Saudi - Saudi Fund umekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya Tanzania kwa kufadhili miradi ya miundombinu, maji, afya na nishati. Michango mikubwa ni pamoja na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar (Dola za Marekani milioni 15) na maendeleo ya barabara za vijijini (Dola za Marekani milioni 11.4).

Kwa upande wa biashara, Saudi Arabia inasalia kuwa kivutio kikubwa cha mauzo ya nje ya bidhaa za kilimo za Tanzania lakini inachangia usawa wa kibiashara usio na uwiano. Saudi Arabia ni chanzo kinachokua cha Uwekezaji wa Moja kwa Moja wa Kigeni (FDI) kimataifa, ikitumia utajiri wake maliasili na mageuzi ya kiuchumi chini ya Dira ya 2030.

Read more at: Tanzania-Saudi Arabia Investment Forum Draws 70 Investors, Leading to Agreements on Strategic Partnerships in Agriculture, Energy, Manufacturing, and Infrastructure
 
26 Desemba 2024

ZAMBIA YAKUBALIWA MPANGO MPYA WA JINSI YA KULIPA MADENI YAKE KWA SAUDI ARABIA

View: https://m.youtube.com/watch?v=dSyxRfrxMro
Na Wilson Mulinda Zambia na Ufalme wa Saudi Arabia zimetia saini makubaliano ya kurekebisha deni chini ya mfumo wa pamoja wa G20 unaolenga kupanga upya ulipaji utakaokuwa nafuu kwa nchi, wa madeni ya zaidi ya dola za Marekani milioni 130 ambazo Zambia inadaiwa na nchi hiyo.

Nchi hizo mbili pia zimetia saini makubaliano mengine ya kuidhinisha mkopo wa ziada wa dola za Marekani milioni 35 ili kufadhili ujenzi wa Hospitali Maalumu ya King Salman nchini Zambia.

Akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini mjini Lusaka, Waziri wa Fedha na Mipango wa Kitaifa, mheshimiwa Situmbeko Musokotwane, anasema makubaliano hayo ni urasimishaji kati ya nchi hizo mbili ili kurekebisha deni la Zambia kwa ajili ya kurejesha malipo ya deni mwaka 2026.

Wakati huo huo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudia, Sultan Al Marshad, alisema Hospitali Maalumu ya Mfalme Salman kwa Wanawake na Watoto itatoa kituo cha matibabu cha kisasa chenye uwezo wa kuhudumia watu 800 waliolazwa katika vitanda hospitalini ...
 
DKT. NCHEMBA ATETA NA SAUDI FUND SAUDI ARABIA

20 Dec, 2024
DKT. NCHEMBA ATETA NA SAUDI FUND SAUDI ARABIA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia (Saudi Fund for Development-SFD), Bw. Sultan Al-Marshad, baada ya kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kati ya Mfuko huo na Tanzania, akiwa na Mawaziri wenzake wa kisekta, Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum , Mazungumzo hayo yalifanyika Makao Makuu ya Mfuko huo Mjini Riyadh nchini Saudi Arabia, Kando ya Jukwaa la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika nchini humo.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameushukuru Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia (Saudi Fund for Development-SFD), kwa mchango wake katika maendeleo ya Tanzania kupitia ufadhili wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta za maji, afya, nishati na ujenzi wa miundombinu ya barabara.

Dkt. Nchemba ametoa shukrani hizo alipo kutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Saudi Fund, Bw. Sultan Al-Mashard, Kando ya Mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika Mjini Riyadh nchini Saudi Arabia.

Dkt. Nchemba aliyeambatana na Mawaziri wenzake wawili katika kikao hicho, akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, alisema kuwa ushirikiano wa Saudi Arabia na Tanzania uliodumu kwa zaidi ya miaka 40 sasa, umekuwa wa mfano.

Aliitaja baadhi ya miradi iliyoleta mageuzi makubwa katika jamii ya Tanzania kuwa ni pamoja na ukarabati wa Mradi wa Maji mkoani Mara (Usd 15m), Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe (Usd 25m), na ujenzi wa Barabara za Vijijini Awamu ya Pili-Zanzibar (Usd11.4m).

Aliitaja miradi mingine kuwa ni Ukarabati na Upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja-Zanzibar (Usd 15m) na kushirikiana na wadau wengine kufadhili Mradi wa Ujenzi wa Njia ya Umeme wa msongo wa 220kV kuanzia Benako hadi Kyaka (Usd 105.4m).

Katika Mazungumzo hayo, Dkt. Nchemba aligusia utekelezaji wa miradi mingine mikubwa ya kimkakati inayoendelea nchini Tanzania ukiwemo mradi wa Reli ya Kisasa SGR, ambao alisema utakapokamilika utakuwa kichocheo kikubwa cha biashara na Uchumi katika nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu.

Kwa upande wao. Waziri wa Viwanda na Biashasra, Mhe. Dkt. Selemani jafo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, walisema kuwa ushiriki wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia katika ujenzi wa miradi ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania utachochea maendeleo ya nchi.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Saudi Fund, Bw. Sultan Al-Marshad, alisema kuwa Mfuko huo uko tayari kuendelea kuisaidia Tanzania kutokana na uhusiano imara uliopo kwa faida ya wananchi wa nchi hizo mbili.

Alipongeza hatua kubwa zinazochukuliwa na Serikali katika kutekeleza miradi muhimu kwa maendeleo ya nchi akiitaja Reli ya Kisasa inayojengwa kwamba itachochea na kukuza biashara na usafirishaji wa abiria na mizigo katika eneo la mradi.

Katika kikao hicho Tanzania na Saudi Fund walikubaliana kuunda Timu ya wataalam watakaopitia, kuchambua na kuchakata miradi mbalimbali ambayo Mfuko huo utatoa fedha ili kuimarisha zaidi ushirikiano kati ya Tanzania na Saudi Arabia.
Mwisho
View attachment 3187117
Huyu iko siku atajua hajui.
10% inauza utu wa mtu
Wabara wabara wabara mnajitambua kweli?
Utumwa mamboleo at the door eti uwekezaji uwekezaji my foot!
 
Mmmmmh.... Hapa Mkataba utakua usha.... Anyway tuwalipe fadhila tu kwa msaada wao kwetu. Waarabu wana upendo sana na sisi Watanzania..
 
"
Aliitaja baadhi ya miradi iliyoleta mageuzi makubwa katika jamii ya Tanzania kuwa ni pamoja na ukarabati wa Mradi wa Maji mkoani Mara (Usd 15m), Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe (Usd 25m), na ujenzi wa Barabara za Vijijini Awamu ya Pili-Zanzibar (Usd11.4m).

Aliitaja miradi mingine kuwa ni Ukarabati na Upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja-Zanzibar (Usd 15m) na kushirikiana na wadau wengine kufadhili Mradi wa Ujenzi wa Njia ya Umeme wa msongo wa 220kV kuanzia Benako hadi Kyaka (Usd 105.4m)."
 
Inaonekana hizo zinazoenda Zanzibar serikali yao inafanyia kazi, kuna madadiliko ila hizi za hapa kwetu hazionekani.
 
Back
Top Bottom