DodomaTZ
Member
- May 20, 2022
- 84
- 118
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), leo Juni 29, 2024 ameungana na Wajumbe wengine kushiriki katika Kikao cha Kamati ya Siasa Wilaya Magu, jijini Mwanza. Kikao hicho kimefanyika Ofisi za CCM, Magu kikiongozwa na Mwenyekiti wake, Komredi Enosy Ndobheji Kalambo.