Waziri Dkt. Stergomena Tax: Maveterani waliopigana vita ya kagera wameshalipwa, hakuna anayedai

Waziri Dkt. Stergomena Tax: Maveterani waliopigana vita ya kagera wameshalipwa, hakuna anayedai

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
wamelipwa lini mafao yao hao wanajeshi waliopigana vita ya uganda.. shuhuda mzee wangu toka ametoka vitani hadi leo hajalipwa hata senti wanzaungushwa kila kukicha..
 
Mzee wangu kashajizeekea wala hana hata habari kama kuna kulipwa 😁
 
Back
Top Bottom