Akizungumza Bungeni, leo Juni 13, 2024, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amesema Wanajeshi wastaafu walioshiriki katika Vita ya Kagera wote wameshalipwa na hakuna anayedai.
wamelipwa lini mafao yao hao wanajeshi waliopigana vita ya uganda.. shuhuda mzee wangu toka ametoka vitani hadi leo hajalipwa hata senti wanzaungushwa kila kukicha..