Aanze yeye kuthibitisha kwamba alitestiwa mitambo na ikakutwa iko fiti, alaete ushahidi wa picha ikiwezekana, la sivyo ni upotoshaji alifanya, na yeye achukuliwe hatuaView attachment 1958620
Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima ameliagiza Baraza la Madaktari (MAT) kuwachukulia hatua madaktari watakaotoa taarifa potofu kuhusu ugonjwa na chanjo dhidi ya UVIKO19.
Amesema atakayeshindwa kuthibitisha taarifa zake atachukuliwa hatua, lengo likiwa ni kudhibiti upotoshaji.
Bongo hii au Cuba? Watu tayari wanavyeti vyao vya chanjo huku chanjo zinamwagwa...nywele ngumu Mungu alitupendelea Sana katika survival skills!Kumekucha Sasa Hivi
Mabeberu Wanataka Taarifa Zitolewe Ndiyo Tupewe Mzigo