Waziri gani awajibike umeme kukatika Uwanja wa Mkapa kwenye mechi kati ya Tanzania na Uganda?

Waziri gani awajibike umeme kukatika Uwanja wa Mkapa kwenye mechi kati ya Tanzania na Uganda?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kila mtu anajua iwe majumbani au maofisini umeme ni mdogo kipindi hiki.

Sasa kwa yaliyotokea pale Uwanja wa Mkapa ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu Mh. Majaliwa, nani awajibike?

Waziri wa Mwanga au Waziri wa Taifa Stars?

Ramadan kareem!
 
Kila mtu anajua iwe majumbani au maofisini Umeme ni mdogo kipindi hiki

Sasa kwa yaliyotokea pale Uwanja wa Mkapa ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri mkuu mh Majaliwa nani awajibike?!

Waziri wa Mwanga au Waziri wa Taifa Stars?

Ramadan kareem!
Tuambiwe wewe,Jo🤔
 
Kila mtu anajua iwe majumbani au maofisini umeme ni mdogo kipindi hiki.

Sasa kwa yaliyotokea pale Uwanja wa Mkapa ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu Mh. Majaliwa, nani awajibike?

Waziri wa Mwanga au Waziri wa Taifa Stars?

Ramadan kareem!
Nchi hii hakuna wa kuwajibika kwa lolote kama kuna wabunge fake 19 wasio na chama bungeni na katiba ya nchi inasema mbunge akifukuzwa uanachama anapoteza ubunge wake hakuna aliyewajibika hata hili la umeme hakuna wa kuwajibika.

Rais Magufuli alikiukwa katiba kwa kumwondoa cag aliyoapa kuilinda lakini hakuwajibika kwanini hili la umeme mtu awajibike.

Rais Magufuli alizuia mikutano ya vyama kinyume na katiba lakini hakuwajibika kwanini hili la umeme mtu awajibike.

"Hakuna wa kuwajibika"
 
Kila mtu anajua iwe majumbani au maofisini umeme ni mdogo kipindi hiki.

Sasa kwa yaliyotokea pale Uwanja wa Mkapa ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu Mh. Majaliwa, nani awajibike?

Waziri wa Mwanga au Waziri wa Taifa Stars?

Ramadan kareem!

Majaliwa nae hajui kujiongeza tu. Wanafanya makusudi kwa kila analofanya au kwenda ili azidi kushuka kisiasa.
 
Waziri Mkuu ndo mtendaji mkuu wa Serikali, tuanze naye.

Ila kuna watu wako benchi muda huu.
 
Aibu Sana Halafu leo umeme utakatika wakati Kamala akipiga speech pale Whaiti hausi
 
Sote tunafahamu anayebebwa na mbeleko kubwa. Uwezo kiduchu kelele nyingi. Yeye pamoja na jamaa yake yule maharagwe sijui wababaishaji tu, wapiga dili wa mjini.

Unamwondoa jembe Kalemani kwa fitna na chuki za sijui 'sukuma genge' kisha unamweka yule jamaa? such a shame!
 
Anzisha mada ya kwako,usiharibu mada za watu,kutwa kuchwa kubweka juu ya magufuli,wewe unafikir pamoja na mapungufu yake magufuli angekubali umeme ukatike katikati ya mechi,na dunia nzima inafuatilia mechi,huoni kama ni aibu kwa taifa.kila mada ikiletwa,ni katiba,mala asad, ma wabunge 19!?,! Umejaza mavi kichwani wewe,
 
Nchi hii hakuna wa kuwajibika kwa lolote kama kuna wabunge fake 19 wasio na chama bungeni na katiba ya nchi inasema mbunge akifukuzwa uanachama anapoteza ubunge wake hakuna aliyewajibika hata hili la umeme hakuna wa kuwajibika.

Rais Magufuli alikiukwa katiba kwa kumwondoa cag aliyoapa kuilinda lakini hakuwajibika kwanini hili la umeme mtu awajibike.

Rais Magufuli alizuia mikutano ya vyama kinyume na katiba lakini hakuwajibika kwanini hili la umeme mtu awajibike

"Hakuna wa kuwajibika"
Wapinzani wanalamba asali
 
Back
Top Bottom