johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tuambiwe wewe,Jo🤔Kila mtu anajua iwe majumbani au maofisini Umeme ni mdogo kipindi hiki
Sasa kwa yaliyotokea pale Uwanja wa Mkapa ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri mkuu mh Majaliwa nani awajibike?!
Waziri wa Mwanga au Waziri wa Taifa Stars?
Ramadan kareem!
Umeme Huu Ndio tutamuuzia Ramaphosa?!Umeme kukatika kwenye donor country iliyotoa msaada wa mamilion ya shillingi kwa uturuki🐒🐒🐒
Eti umeme huu ndiyo utakaoendesha train za meendokasi za SGR?😎Umeme Huu Ndio tutamuuzia Ramaphosa?!
Nchi hii hakuna wa kuwajibika kwa lolote kama kuna wabunge fake 19 wasio na chama bungeni na katiba ya nchi inasema mbunge akifukuzwa uanachama anapoteza ubunge wake hakuna aliyewajibika hata hili la umeme hakuna wa kuwajibika.Kila mtu anajua iwe majumbani au maofisini umeme ni mdogo kipindi hiki.
Sasa kwa yaliyotokea pale Uwanja wa Mkapa ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu Mh. Majaliwa, nani awajibike?
Waziri wa Mwanga au Waziri wa Taifa Stars?
Ramadan kareem!
Kila mtu anajua iwe majumbani au maofisini umeme ni mdogo kipindi hiki.
Sasa kwa yaliyotokea pale Uwanja wa Mkapa ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu Mh. Majaliwa, nani awajibike?
Waziri wa Mwanga au Waziri wa Taifa Stars?
Ramadan kareem!
labda behewa moja itabidi liwe power bank!Eti umeme huu ndiyo utakaoendesha train za meendokasi za SGR?😎
Let us be serious
Na Wapinzani wako kwenye masega wanaramba!Wanajuana, CCM wote ni majizi. Hakuna mwizi wa kumwajibisha mwizi mwenzie
Wacha ukawakatikie na wao waipate fresh.Umeme Huu Ndio tutamuuzia Ramaphosa?!
Wapinzani wanalamba asaliNchi hii hakuna wa kuwajibika kwa lolote kama kuna wabunge fake 19 wasio na chama bungeni na katiba ya nchi inasema mbunge akifukuzwa uanachama anapoteza ubunge wake hakuna aliyewajibika hata hili la umeme hakuna wa kuwajibika.
Rais Magufuli alikiukwa katiba kwa kumwondoa cag aliyoapa kuilinda lakini hakuwajibika kwanini hili la umeme mtu awajibike.
Rais Magufuli alizuia mikutano ya vyama kinyume na katiba lakini hakuwajibika kwanini hili la umeme mtu awajibike
"Hakuna wa kuwajibika"