mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito.
Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini.
Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini alimrudisha baadae kwenye Baraza.
Kwa umri wake, uzoefu katika wizara nyeti na kuaminika katika awamu tofuati za viongozi nadhani anafaa kuwa Waziri Mkuu ajaye 2025 pale Majaliwa atakupokuwa ametimiza miaka 10 ya Uwaziri Mkuu na kuwa wa pili tu maada ya Sumaye kuhudumu nafasi hiyo kwa miaka hiyo.
Karibuni kwa maoni ndugu