Haifai na kwa ujumla ccm haitakiwi Tena nchi hii.Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito.
Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini.
Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini alimrudisha baadae kwenye Baraza.
Kwa umri wake, uzoefu katika wizara nyeti na kuaminika katika awamu tofuati za viongozi nadhani anafaa kuwa Waziri Mkuu ajaye 2025 pale Majaliwa atakupokuwa ametimiza miaka 10 ya Uwaziri Mkuu na kuwa wa pili tu maada ya Sumaye kuhudumu nafasi hiyo kwa miaka hiyo.
Karibuni kwa maoni ndugu
Kufanya kipi cha maana akiwa Waziri!Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito.
Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini.
Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini alimrudisha baadae kwenye Baraza.
Kwa umri wake, uzoefu katika wizara nyeti na kuaminika katika awamu tofuati za viongozi nadhani anafaa kuwa Waziri Mkuu ajaye 2025 pale Majaliwa atakupokuwa ametimiza miaka 10 ya Uwaziri Mkuu na kuwa wa pili tu maada ya Sumaye kuhudumu nafasi hiyo kwa miaka hiyo.
Karibuni kwa maoni ndugu
Hapana mkuu.Ndugu, je alizuia taratibu zozote kufuatwa au kumlinda?
Huyo si kuna kipindi jiwe alimla kichwa?Tunaweza tusione kwa kuwa hana makeke kama wengine, lakini marais watatu wote lazima kuna kitu kizuri wamekiona kwake. SIsi kwa nafasi yetu tunaweza tusione.