#COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19


Gwajiboy kaza uzi. Milango ya gereza itafunguka.

😂😂!
 
Hii NCHi Ina vituko sana, yaani watu ambao jana walikuwa wanapinga na kukataa kabisa kama hata huo ugonjwa wa CORONA upo, leo wanamkamata mtu anayepinga CHANJO ya CORONA wakati ni haki yake na hiari yake kuchanjwa au la na kuhubiri ni sehemu ya kazi yake.

KATIBA MPYA#
 
Kwani hoja za "Askofu" Gwajima ni za kiimani au za kiiteligensia?
 
Yaani hata huko kwenyewe inakotengenezwa hiyo chanjo inapingwa ajabu nyie mlioletewa tu za msaada ndo mnataka mpaka kufunga watu, acheni uonezi.
 
Ndugu, kwenye haya mambo huwa hatujadili personality ya mtu bali hoja alizotoa ndo zinapaswa kujibiwa!!!!
 

Menyewe kwa menyewe wallahi 😂😂!
 
Huyu mama na naibu wake wajiunge uanachama wa bongo movies wapeleke jina KWA mwenyekiti wao Steve Nyerere
 
Kwanza atueleze msimamo wake wa mwanzo ulibadilikaje?
 

Mi Nazani ni Vizuri Kama Serikali Ingejibu Hoja Zake Ili Tukate Mzizi Wa Fitina
 
Tena ikiwezekana apotezwe tu kabisa!!!
 
Waziri wa afya ana mamlaka ya kuamrisha jeshi la polisi? Hii nchi inaongozwa na vilaza watupu
Bro unasema waziri kote huko.. mteule wa raisi ka mkuu wa wilaya anampa order police ..

Reference maneno ya mwendazakei.. " ....sheria inawaruhusu kumweka mtu ndani 48hours..."
 
Huu mwaka mpaka unaisha tutaona mengi...
 
Dah... Yani licha ya mapungufu aliyokuwa nayo BASHITE...

Hapa nimemmiss.

Mtu angeshawekwa ndani zamaanii..
 
Kanisani kwake si kuna fahamika lakini[emoji848] kwanini wasimkamatie huko
Hii ni njia ya kizamani ya kupambana na watu wenye misimamo hasi.Ningeshauri Waziri wa Afya aitishe kongamano kati ya wanasayansi wake na watu wanaoamini imani za kishirikina kama Bishop Gwajima ili wafanye mdahalo ( Debate).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…