Mbona hata mbowe anaungwa mkono na wananchi lakini kaitwa gaidi na yupo magereza ?Hahaha huyu maza anachemka, hii sio namna bora ya kupambana na Gwajiboy, hawaoni anaungwa mkono na wananchi wengi?
Wanafiki wakubwa nyie mnaojifanyaga mmeokoka she.nzi kabisaGod has given you the autonomy to chose the way you wish. Lakini, ujue Mungu hana radhi na mpumbavu.
Ndio makosa menyewe hsyoMbona hata mbowe anaungwa mkono na wananchi lakini kaitwa gaidi na yupo magereza ?
GwajiBoi vs GwajiGelGwaji against Gwaji.....patamu hapo
Wamwachie mwenyekiti MBOWE hatutaki hayo mazingaombwe yao. Waondoe tozo onevu na za kinyonyaji.,Watupatie Katiba mpya... Tunachoshwa na maigizo yao yasiyo na kichwa wala mkia!!!
Usichanje mkuu …. Utakua ratNitake Virtual data kwani tupo kwenye video game? Kwahiyo sisi mnataka kutufanya ‘actual’ rats wa kupata ‘actual’ data sivyo baada ya miaka 10 sivyo? No thanks.
Ccm ni mabingwa wa kutengeneza muvi!! Hadi leo hii Mama yuko zake Malawi, hakuna mrejesho wowote ule kuhusu TOZO! Watanzania tunaendelea tu kuumizwa!Tozo za miamala , mafuta, pembejeo za kilimo!
ShitWao ndio wanapaswa kutoa ushahidi wa uchunguzi wao uliofanya wakaona chanjo ni salama. Gwajiboy hamumuwezi
Pole mwana wa ibilisi. Kinachokusumbua ni wivu kama wale waliomuua Yesu, wakidhani wanamkomesha. Hauko peke yako mko wengi. Tukana tena, tusi lingine kwa uvuvio wa lucifer baba yako.Wanafiki wakubwa nyie mnaojifanyaga mmeokoka she.nzi kabisa
Jibu hoja, nachukia mipasho kwenye hoja.Usichanje mkuu …. Utakua rat
it’s cheaper that way
Basi waliochoma nao wakae kimyaaa maneno maneno ya kuhamasisha wengine wakachome ya nini??Ndio athibitishe tuu shida iko wapi? Then kama yete hataki chanjo maneno mengi yanini?
Majibu yote yapo publicJibu hoja, nachukia mipasho kwenye hoja.
SafiAskofu wa kweli ni yupi? Anaye valia kofia na fimbo?
Hicho kichaka hakitakusaidia sana, tuambiwe, madhara (side effects) za hizo chanjo baada ya miaka mi5 ni zipi? Kwa atakayechomwa na kwa watoto atakaowazaa, ziwekwe wazi na watuambie walifanya hayo majaribio kuanzia mwaka gani hadi mwaka gani...Majibu yote yapo public
I am not here to tell you what sciences shouts everyday
kama unaweza access JF then you can access all the data and info available online
tusijibweteshe Kama wanawake wa pwani