Tuanze hapaWe unaona kuna swali pale au mipasho? Kuna swali pale?
Hahitaji hata jopoBaada ya askofu Gwajima kukamatwa na Takukuru ni vema akahojiwa na jopo la wanasayansi ili baada ya hapo mjadala ufungwe rasmi tuendelee na majukumu mengine
Mungu ni mwema wakati wote!
Unaweza kupata na chanjo sio kigezo cha kutopata isipokuwa madhara yake hata ukipata si makubwa kama ukiwa huna chanjo!Tuanze hapa
Ukipata chanjo unaweza kuugua/kuambukizwa uviko au huwezi?
Kama UNAWEZA kwanini unachanja; Kama HUWEZI naomba twende swali la pili
Narudia, WAKAMATWE WOTEHata Mbowe anaungwa mkono na wananchi wengi lakini amekamatwa!
Acha wakamatwe kamatwe hovyo ili mwisho wananchi wakikosa wa kuwasemea mambo yao watasema wenyewe kwa vitendo...
Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini
nahisi hawajakuelewa..🙂Wanataka kukata tawi lote, kisha kulichoma. Walikate tu wasilichome kwa sababu matunda yaliyo kwenye tawi hilo yameishakomaa na mbegu zake zaweza kusaidia kuotesha miche mingine ya mti huo.
Chonde chonde msikate na kuchoma tawi hilo! Mkitumia jicho la tatu mwaweza kung'amua kuwa hakuna haja ya kukata tawi hilo achilia mbali kuwaza kulichoma.
Mungu?Mtashindana lakini hamtashinda.
Gwajima huwezi kushindana na Mungu, hata ufanyeje.
Si kwa majeshi wala silaha , ila ni kwa Roho Wa Bwana.
Chanjo zilizoletwa awamu ya kwanza ni 1m ambazo bado hazijaisha. Idadi ya madaktari na watumishi wa idara ya afya ni zaidi ya 1m nchini. Kwa kuwa hawa ndio wanapaswa kutoa chanjo na wamesita wenyewe kuchanjwa, iweje Dr Gwajima amkomalie Askofu Gwajima?Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji. Mimi ndiye msemaji wa masuala ya afya nchini, nimechoka kuvurugwa naagiza akamatwe popote na akahojiwe juu ya haya madai - Dk. Gwajima...
Walisema wahenga.Ndugu wakigombana. Beba jembe ukalime.
ACHA KUJIDHALILISHA. CHANJO IMETENGENEZWA KUFUATA MTIRIRIKO WOTE WA KISAYANSI NA IMETHIBITIKA HAINA MADHARA NDIO MAANA IKARUHUSIWA NA TAASISI HUSIKA KAMA WHO. DAI NA SCIENTIFIC PROOF YA CHANJO NYINGINE ZOTE BASI.Wao ndiyo wathibitishe na watoe scientific proof ya kuwa chanjo ni salama, inazuia ugonjwa na ina life span ipi.
ACHA KUJIDHALILISHA. CHANJO IMETENGENEZWA KUFUATA MTIRIRIKO WOTE WA KISAYANSI NA IMETHIBITIKA HAINA MADHARA NDIO MAANA IKARUHUSIWA NA TAASISI HUSIKA KAMA WHO. DAI NA SCIENTIFIC PROOF YA CHANJO NYINGINE ZOTE BASI.
Nakunywa wine hapa, unitagLeta hapa data walizotoa kwamba chanjo hii haina madhara for the next ten years. Weka hapa hizo proof.
Yes anayo.Waziri wa afya ana mamlaka ya kuamrisha jeshi la polisi? Hii nchi inaongozwa na vilaza watupu
Siro kaufyata utafikiri amestaafu au hayupo inchini. Siro utamuona kwenye mambo yanayohusu chademaWaziri wa afya tena! sio Sirro
Nakunywa wine hapa, unitagView attachment 1895672
Hahahah hao ndio habari ya dunia, muulize hata mu us atakwambiaKama vile umejua. Hakuna jibu, ila naona utalibani tu.