Waziri Gwajima naomba tusaidie

Waziri Gwajima naomba tusaidie

Joined
Aug 20, 2024
Posts
66
Reaction score
143
Waziri Dr Doroth Gwajima Kuna jambo linatusumbua, tumejitahidi kupiga kelele na hata kwenda kwenye Ofisi za serikali lakini hakuna msaada. Ninaamini wewe unaweza kutusaidia kuhusu hili jambo.

Kutokana na unyeti wake, sitaliweka hapa ila ninaomba Kama utakuwa Tayari kutusaidia, nipo tayari kuelelzea kila kitu au kuweka kila kitu wazi Kwa ruhusa.

Nashukuru sana mheshimiwa na uwe na siku njema.

Dkt. Gwajima D
 
Sasa si ungemuandikia PM mkuu?

Kama unaona ni jambo nyeti hutaki wengine tujue si ungemuandikia DM tu, huwa ana respond vizuri tu

Hapa ni kama unaturusha roho tu
 
Ukitaka kula nguruwe kula aliyenona, sasa unamuitia nini Mheshimiwa? Yaani aje akutafute PM ? hauko serious
 
Back
Top Bottom