Waziri Dr Doroth Gwajima Kuna jambo linatusumbua, tumejitahidi kupiga kelele na hata kwenda kwenye Ofisi za serikali lakini hakuna msaada. Ninaamini wewe unaweza kutusaidia kuhusu hili jambo.
Kutokana na unyeti wake, sitaliweka hapa ila ninaomba Kama utakuwa Tayari kutusaidia, nipo tayari kuelelzea kila kitu au kuweka kila kitu wazi Kwa ruhusa.