#COVID19 Waziri Gwajima: Sisi viongozi tulishachanjwa chanjo ya Corona na sasa tunaelimisha wananchi nao Wachanje

Huyu mama ndiyo kazingua kabisa si angesema kesho hiyo na wao ndiyo wata anza kuchanjwa hata kama sio kweli ili raia waelewe sasa chanjo inazinduliwa kesho halafu wanasema wamesha pata chanjo tayari duh.
 
Nchi ambazo zilikataa korona Tanzani, Burundi na Hait marais wake wamefariki.

Nchi hizi pia zina mfanano wa hali ya kisiasa.

Tz kila mtu anajua
Burundi: Nkurunzinza pia tunafahamu alivokuwa anaendesha siasa za Burundi.
Haiti, kulikuwa na madai ya katiba mpya kwa muda mrefu na rais alikuwa anayapiga danadana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mama ndiyo kazingua kabisa si angesema kesho hiyo na wao ndiyo wata anza kuchanjwa hata kama sio kweli ili raia waelewe sasa chanjo inazinduliwa kesho halafu wanasema wamesha pata chanjo tayari duh.
Hajazingua ila ameongea ukweli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji119] sarakasi kibaoo
 
Huyu mama ndiyo kazingua kabisa si angesema kesho hiyo na wao ndiyo wata anza kuchanjwa hata kama sio kweli ili raia waelewe sasa chanjo inazinduliwa kesho halafu wanasema wamesha pata chanjo tayari duh.
Hajazingua ila ameongea ukweli.
 
Katoa wapi chanjo wakati aliipokea juzi [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema yeye na viongozi wenzake walishachanja chanjo ya Corona na sasa wamebaki kuwa walimu wa kuelimisha wananchi nao wachanjwe.

Source: ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote.

Ndo ile ya mchina? Maana kila Mtu alienda Chatto kupigwa
 
Tunaishukuru kwa hilo.

Halafu mh.waziri Dr.Gwajima ni DAKTARI kitaaluma....na madaktari wahamasishao CHANJO wameombewa "mabaya" na mh.Josephat Gwajima .....🤣
 
Back
Top Bottom